Kwa nchi kama hii ya waoga waoga hata kwenye haki zao,..! Sioni La ajabu hapo!
Kwani mtu wa serikali anaye monitor mauzo yote yatokanayo na madini hayo hatuna? Au tuliingia makubaliano ya kumwamini mwekezaji atatupatia ikitokea amepata faida?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.