What is a different between formular vs Form/System according to your topic.Sasa hizi ndo formula tunazoziongelea?
Tofautisha mfumo na formula kwanza..
Formula ni yako pekee, it must be something you decide to choose.. Ila mfumo ni ule ambao uko prior.
Kinapokuja swala la mifumo, either imetengenezwa na mtu au Mungu.. Vinabaki kuwepo tu.. Mfano numbering system au banking, au coding.. Hizo zinakuwepo ila formular ni namna unavyo itumia hiyo mifumo
bora uchukiwe kuliko watu wakuone wa kawaida maana kawaida = hovyoUmeongea sahihi lakini ukiwa kinyume na wengi ni dalili ya schiz
Kuwazawaza sana ndio tatizo la wanadamu.Kuna stage katika maisha, universe itakupitisha katika tanuri la moto ili tu ikuamshe. Yaani utaona kama Mungu alikosea kukuumba ilihali amekufanya wa tofauti ili uje uje utimize mambo makubwa.
Katika maisha nilikuwa najiuliza sana mbona kuna mifumo? Like watu wanaishi kufuata protocol na ukiacha tu maisha umeyakosea?
Nilikuwa naenda kanisani najiuliza hivi huyu mtu wanayemwita Mungu ndo nani hasa?
Mashuleni nikisoma nilikuwa najiuliza mbona wanyama hawasomi? Mbona mababu zetu hawakwebda shuleni na waki ishi kimila tu vizuri?
Ila hakuna aliye nipa majibu au jawabu? Muda na masaa ya kula na kulala nayo.. Ilikuwa nashangaa sana!.
Ila baada ya kuja kupitia msoto, na kujua ya kuwa sio kwamba hii ni kawaida bali, ni mifumo tu iliyo wekwa kumfanya mwanadamu, awe rahisi ku control. Maana if we look clearly kwanini tunafanya tunalo lifanya?
Ni kwasababu!!! Yaani hauwezi tu kuamka na kuanza kufanya kitu labda kama wewe ni chizi...
We live in a world where dopamine is a commodity, something we need to spend money on.
Yaani hatujui tuko wapi na kwanini!
Hakuna mwongozo wa maisha, sisi ni wanyama tu... We are all going to die one day. Na Unaposema una chase kitu fulani tambua hakuna unacho chase, unakimbizana na past moment ijirudie tena
You only have now... This moment... Na huo ndo ukweli Mchungu..
Uwe hospitalini unaumwa, au uwe kwenye pipa una elekea Dubai..
Wewe halisi uko sasa hivi na muda huu..
Hayo mengine ni illusion na ukishaipata ni sawa na kupiga bao wakati wa tendo.. It's only for a second then the excitement fades.
Sasa je ni heri uya curve maisha yako yakupe satisfaction au uingie kwenye system ya ku chase mafanikio ukiuza soul yako in the process..
I choose to be me.. Nitafanya nitakalo sitasikiliza mawazo ya mtu kama haya align na visions zangu.
Binadamu huwa na tendency ya kutafuta closure kwa watu, so ukiwa sikiliza utapotea...
Usiharakishwe na maisha ya mtu mwingine, kama hauoendi kuishi kwenye harakati na makelele then opt for a cottage life,
kama unapenda mishe mishe ishi mjini.
Kama sio mwongeaji usitake kuforce watu wakusikie, even your silence is loud too,
kama hutaki sifa na kujionesha it's okay, kama wewe ni mtu wa sifa, kuwa kama wale jamaa wa katoro na bilions..
Maisha hayana formula Buda.
Ni kheri kila mtu angelitambua hili mapema. Tungepunguza stress na Maumivu ya sio na maana.
Welcome to the club, IYKYKSasahivi ndio nimeanza kukupata, ila Una kitu aiseeh. Mwanzoni nilikuwa nakuona kama dishi limeyumba na mambo yako ya platinum badge😂😂
Huyu mwanafalsafa atakuwa ni wewe.😊Kuna Mwanafalsafa mmoja amewahi kusema matumizi ya mmea yanaleta busara na utambuzi.
Kijana de Gunner kuwa mkweli unatumia mmea wa uzima au la! ?
Formula according to my topic is the way, to utilize a system... But can also be used to create my own system.What is a different between formular vs Form/System according to your topic.
Formula ni kanuni zinazokufanya uweze kuishi kwenye mfumo system.
Izo formula ziko planned kukuwezesha na kukulazimisha wewe uishi ndani ya system.
Hahahaha ndo Maisha mkuu....kama wewe ni mtu wa sifa, kuwa kama wale jamaa wa katoro na bilions........ Jamaa wa katoro wanafanya waliyofanya wachimba Tanzanite huko Arusha miaka ya 1980/90's yaaniii ilikuwa fujooo haswaaa ... leo hii Arusha kimyaaa
Then fanya hivyo bila kujiuliza Uliza..mbona kama umenigusa maana me kukaa mjini naona ni shida sana, napenda kukaa sehemu zenye utulivu na ukijani mwingi na ata kama ni nyumba napenda kupanda mboga mboga ilimradi tu kuwe na ukijani na hivi na palni nihamie shamba nikkafuge huko na kulima. ndivyo nnavyopenda huku mjini hapana.
I hate to say ila UCHIZI no kujua ukweli na kubaki kwenye ujinga.Pia kulazimisha uende na wengi wakati wewe umeujua ukweli ni UCHIZI PROMAX-just be you
Well said bro appreciate itKuna stage katika maisha, universe itakupitisha katika tanuri la moto ili tu ikuamshe. Yaani utaona kama Mungu alikosea kukuumba ilihali amekufanya wa tofauti ili uje uje utimize mambo makubwa.