Ni kheri nimelijua hili nikiwa bado kijana

Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: Mahondaw
 
Hata kuingia jamii forum kuja kutema mawazo yako umeongozwa na mifumo uliyoikuta, hata nguo ulizovaa, hata kujua hii ni break fast au dinner ni wajanja walitangulia kukuwekea, kwa ufupi huna cha kubadilisha, walau kwa sasa sbb hela huna.
 
Acha kuketa nongwa binafsi

Kama huna creative mind ya kufikiria kitu kipya na kuishi unavyotaka endelea kuwa a cog in a mashine..

I never said I wanted to make one believe or follow me, I just poured my thoughts
 
Nikiwa kijijini kwetu, siku ya jumapili ni marufuku kufanya kazi, ila town ni kazi saa yoyote, waulize wanaokushangaa unavyopiga kazi siku ya jumapili, kuna tatizo gani kufanya kazi? Hana majibu, nakubaliana na wewe kwa sehemu kubwa, changamoto jamii inayokuzunguka.
 
Most of what we're told is just a man made conception ndo maana wengine wanafsnikiwa na wengine hawafanikiwi..

It's because we share the same existence but live in different realities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…