Ni kheri ufiwe na mzazi kuliko kufiwa na mume/mke

Pole sana mkuu sio rahisi kukuelewa mimi nina ya tofauti nina umri wa 33 nimeshafiwa na watoto wawil;i asikuambie mtu hayo maumivu yake sio ya kuhadidhia, nlikuja gundua kumbe ndio maana mzee anafiwa na ,mwanae mwenye wajukuu bado analia uchungu hauelezeki. NB WAMEZALIWA WAKAISHI SIO MIMBA KUHARIBIKA mwenyenzi mungu alawalaze mahala pema peponi.
 
kila kitu kina uzito wake chief.
 
Wewe una sema bora wazazi, ila kumbuka huyo ni mzazi wa watoto wako pia pata picha na wewe ukiondoka watoto watakuwa kwenye mazingira gani? Je ulichokiandika kitakuwa na uhalisia kwa watoto wako?
 
Kiongozi pole sana
Nakushauri ukubali imeshatokea ili maisha yaendelee. Najua ni vigumu sana ila jitahidi
Kwa upande wa pili; sikushauri kabisa ulinganishe tatizo lako na kufiwa na wazazi. Wazazi wananafasi yao ya juu sana ambayo haina mbadala hapa Duniani hivyo usikufuru Mungu
Kama inafaa rekebisha hiyo heading kwa kufuta hiyo habari ya wazazi kwani inaonesha ubinafsi kuwa, baba yako akifiwa na mke wake kwako ni poa.
 
Futa uzi wako huna adabu na hekima ww ww unataka kumpangia mungu UNAJUAJE kama mke wako alikuwa na mpango wa Kuku tanguliza mbele za haki Usiongee USENGE kwa mama au baba mzazi axee nilifiwa na mama mwaka 2002 baba a kachukua usukani kama mama kama baba akawa akitoka kupiga tungi anatubebea na vizawadi na kutuhusia Sana na kila akilewa kama pesa ndogo sijui ni na nini Sana tu WE MP
 
Matako wewe
 
Pole sana ndugu, Mungu alie mfariji akupe faraa yake na akuwezeshe kusonga mbele ili uweze kuwalea watoto wako
 
Pole sana [emoji22] Mkuu
 
Jaribu kuwa na stara japo kidogo, na uheshimu hisia za watu, sio kila jambo unapaswa kuwaza mawazo potofu namna hiyo, mleta mada anahitaji kutiwa moyo na kufarijiwa wewe unakuja kuandika comment ya namna hii?
 
Ni kweli inaumiza ila ulinganishi wako usiu generalise, maana inawezekana kwako wazazi hawakuwahi kuwa na thamani lakini si kwa wote na zaidi si kawaida kwa jamiu zetu hizi.
Mzazi ana mahala pake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…