Ni kheri ufiwe na mzazi kuliko kufiwa na mume/mke

Mnatumia kifaa gani kufikiri?
 
Pole sana,idiot!
 
Huwa namshangaa sana mtu asiyekubali toka moyoni kwake kwamba kuna kifo na ni hatma ya kila mmoja wetu, na endapo kifo kitamchukua mtu wako wa karibu haina maana ndio mwisho wa maisha...
 
Huwa namshangaa sana mtu asiyekubali toka moyoni kwake kwamba kuna kifo na ni hatma ya kila mmoja wetu, na endapo kifo kitamchukua mtu wako wa karibu haina maana ndio mwisho wa maisha...
 
Sema basi lkn nilitaka nikwambie hivi;
Hivi km mkeo angekuwepo ukamwambia afanye uchaguzi wa kumuua mtu mmoja kati ya mzaze wake ama wewe mmewe unadhani angelimchagua nani?
Wake zetu hawana uchungu na wanaume zao hilo linajulikana , tena wengine hadi wanafanikisha vifo vya waume zao kwa namna moja au nyingine.
Wanaume wanapenda kwa dhati ,wanawake wanapenda kwa nafasi . Ndo maana majumba yetu yanajaa ndugu wa mke tu.
Mkuu,
Taadhari na kiasi ni mhimu.
JITHAMINI.
 
Anza kupiga mabaa medi utakuwa sawa tu
 
Maumivu ya kufiwa na mke (wife material) ni makali sana. Na huchukua muda mrefu sana kuisha. I know it.
 
Aseehh...I can feel you brother
Pole Sana yaani wewe kifo hakikutishi Tena
Mimi mdogo wangu kufiwa na mama tu Kuna muda akiskia mtu kafa Wala hashangai Tena

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kashawaambia kachanganyikiwa kwahyo hajielewi
 
Pole Mwenyezi Mungu akutie nguvu.
 
Pole sana Ndugu yangu, Mungu, pekee akusaidie katika hilo, Pole mno
 
Pole sana
 
Pole sana kwa kufiwa na mke ila umekosea sana kuwalinganisha wazazi na mke. Kumbuka mke waweza kumreplace lakini mzazi ni mmoja tu (Baba/Mama) ukimpoteza hutakuwa na mbadala.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…