Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

Ladha yake si sukari ni vichenza na malimao.

Mechi zake hua hatari ni chenga na mabao.

sumbai We mzee acha ninawili tu.
Chinno wangu ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’‹

Mzee wa kuibuka, haya Ulifichwa wapi?
Wewe nakuacha soon, toka Eid hujaonekana sijui mshangazi gani ulikuficha ๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Chinno wangu ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’‹

Mzee wa kuibuka, haya Ulifichwa wapi?
Wewe nakuacha soon, toka Eid hujaonekana sijui mshangazi gani ulikuficha ๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Yani nichukue vits niache Mercedes benz

Chino hawezi bila wewe umempa upofu
wa moyo jicho la nazi kwako sioni.
 
Yani nichukue vits niache Mercedes benz

Chino hawezi bila wewe umempa upofu
wa moyo jicho la nazi kwako sioni.
Ah, jamani mwizi moyo kaniibia
Nahisi kihirizi ah, kanichimbia
Maana uchizi si' uchizi, nachanganyikiwa
Mapenzi kikohozi, kwa Chinno nimepaliwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’‹
 
Dollar 300?!
Hiyo hapana sitaki ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hata mshahara ninaowalipa wafanyakazi wangu hautoshi ๐Ÿคฃ
Basi niajiri mie kama mfanyakazi wako......nipe kazi ya kufua chupi zako tuu
 
Mama nizawadie basi๐Ÿ˜Šโ˜บ๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ