Hizi 14km ziko kati ya Straight Gibraltar na Morocco na kina ni ft 900.Sisi kwa ujinga tunafikiria la Zanzibar 85KM. Kwa faida gani kiuchumi!
Hakuna sbabu ya kutumia rasilimali za Tanganyika ku invest Zanzibar! Imetosha.Hizi 14km ziko kati ya Straight Gibraltar na Morocco na kina ni ft 900.
Tungekua na muugano wa kweli kungekua na kati ya hizi km 85 na daraja kati ya Zanzibar na Dar es Salaam.
Visiwani ingekua ni utalii zaidi na makazi ya wafanyakazi ambao wakistaafu wanakwenda kuishi Tanganyika.
Una fahamu kuna mbuga imeanzishwa na kuna migration process kutoka Serengeti to Unguja. Kama wale waliokwenda Sharjah.Hakuna sbabu ya kutumia rasilimali za Tanganyika ku invest Zanzibar! Imetosha.
Daraja lingekuza sana utalii wa Zanzibar. Tanganyika haipotezi wala hainufaiki na chochote!
Mwaka jana Rais wa Zanzibar alipokea ndege ya ATC kule Zanzibar kwasababu ya Muungano.
Majuzi wametangaza kuanzisha shirika lao la ndege kama walivyo na taasisi nyingi ambazo hazina msaada kwetu.
Tanganyika imebaki kutoa rasilimali bila kupata chochote katika muungano, na kuna nyakati muungano unaohudumiwa na Watanganyika unawanyika fursa kwasababu kuna ''Wazanzibar''
Tusipoteze muda!
Chuo cha Wanyamapori Mweka kinajenga tawi Zanzibar! ImagineUna fahamu kuna mbuga imeanzishwa na kuna migration process kutoka Serengeti to Unguja. Kama wale waliomwenda Sharjah.
Daraja lingetoa uamuzi wa kusafiri kwenda Unguja ukitaka ndege, basi au self drive au boat.
Mwalimu Nyerere alitoa sehemu Bagamoyo ili kunenepeshea ngo’mbe kabla ya kuwasafirisha kwenda kuchinjwa Unguja. Hii ilikua sehemu ya kuhakikisha afya ya jamii watu wapate lishe bora.Chuo cha Wanyamapori Mweka kinajenga tawi Zanzibar! Imagine
Kwanini kisjenge tawi Ruaha au Mikumi. Yote ni kuwapendeza kwa gharama za Tanganyika. Zanzibar na Wanayapori wapi na wapi! Chuo kikuu DSM kina marine branch Zanzibar inayojengwa kwa dollar milioni 8 badala ya kuendeleza Mbegani Bagamoyo. Hawa viongozi wa Tanganyika ipo siku tutawauliza walitetea vipi rasilimali za nchi.
Nyerere alitambua baada ya muda na kwa kuwa na Taasisi za aina moja muungano utaimarikaMwalimu Nyerere alitoa sehemu Bagamoyo ili kunenepeshea ngo’mbe kabla ya kuwasafirisha kwenda kuchinjwa Unguja. Hii ilikua sehemu ya kuhakikisha afya ya jamii watu wapate lishe bora.
Sasa hivi tinaambiwa Serikali ya Zanzibar inamiliki ardhi Bagamoyo.
Huu Muungano hata Nyerere alishauoba una matatizo lakini alitaka kudumisha legacy ya kufanikisha jambo ambalo hata Wazungu hawakuliweza.
Hoja nzuri sanaNyerere alitambua baada ya muda na kwa kuwa na Taasisi za aina moja muungano utaimarika
Kazi ya kwanza ilikuwa kufuta Utanganyika na Uzanzibar, ndio maana kukawa na Tanzania Bara na Tanzania Visiwani
Katiba ya 1977 inatambua uwepo wa Tanzania Bara na Visiwani.
Viongozi waliofuata wakakubali wazo la Uzanzibar kwanza. Kazi hiyo aliifanya Aman Karume 2010 ! tukabaki na Tanzania Bara. Viongozi wa serikali husema Dec 9 ni ya Uhuru wa Tanzania si Tanganyika. Wanasema hivyo makusudi
Wazanzibar wanataka Tanzania ibaki lakini Zanzibar iwe yao. Maana yao ni kwamba, shamba la ng'ombe Bagamoyo linamilikiwa na Wazanzibar ambao ni Watanzania! wamepewa title deed na Wizara ya ardhi kama Tanzania.
Taasisi zote za Tanzania zina mbadala Zanzibar.
Bodi ya Bandari ina Wazanzibar kwasababu ni Watanzania lakini Bandari si suala la Muungano, wameliondoa wao. Mamlaka ya Anga ina Wazanzibar kwasababu ni Watanzania. Ma DC na Maafisa tawala kuna Wazanzibar kwasbabu ni Watanzania, lakini hakuna Mtanganyika anayeweza kuwa hata Sheha kule Zanzibar! si Mzanzibar
Wazanzibar wanasoma Bara kwasababu ni Watanzania, wanatibiwa na Wizara ya Afya ya Tanganyika kwasababu ni Watanzania. Hivyo, Utanzani kwao si muungano ni tiketi ya kunufaika na fursa za Tanganyika
Kwa upande mwingine, Mtanganyika hana nafasi yoyote ya kushiriki shughuli za Zanzibar kwasababu si Mzanzibar.
Kuita huu ni muungano! inatatiza sana. Huu si muungano ni mbeleko kwa Wazanzibar.
Mtanganyika hafaidiki na chochote au lolote lile zaidi ya kupoteza.
Huu muungano una kitu hakipo sawa.Chuo cha Wanyamapori Mweka kinajenga tawi Zanzibar! Imagine
Kwanini kisjenge tawi Ruaha au Mikumi. Yote ni kuwapendeza kwa gharama za Tanganyika. Zanzibar na Wanayapori wapi na wapi! Chuo kikuu DSM kina marine branch Zanzibar inayojengwa kwa dollar milioni 8 badala ya kuendeleza Mbegani Bagamoyo. Hawa viongozi wa Tanganyika ipo siku tutawauliza walitetea vipi rasilimali za nchi.