Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁

Vijana wa ovyo watakuja πŸ‘‡
"Tafuta pesa"
 
Ile game ya Liver na chelsea ingekuwa imeahirishwa. muda huu ningekuwa nazungumza ki Hebrew! 98 mil. Umbwa wale. Wangekata kutokanana na odds kupungua lakini nisingekosa kadhaa wa kadha.
 
Tumefanana mawazo aisee,natamani hivyo pia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…