Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
What do you need most now
Drop it
Me: Laughter
Drop it
Me: Laughter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni ndoto ya walio wengi....tuongeze mapambano....Kushika millioni kumi kwa mara ya kwanza
Ni jambo kubwa sana....Mwenyez Mungu akupe hitaji la moyo wako.... Then blessing others, blessing your nationAttracting abundance
Tafuta HelaKwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁
Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"
Nasikiaga mikopo mizur utaipata saccoss sio kwenye credit microfinance.....Ila pia kukopa millioni moja ninunue kiwanja natamani
Au laptop kali
Niachane na mawazo ya kijinga nitafute hela 😂😂
BettingIle game ya Liver na chelsea ingekuwa imeahirishwa. muda huu ningekuwa nazungumza ki Hebrew! 98 mil. Umbwa wale. Wangekata kutokanana na odds kupungua lakini nisingekosa kadhaa wa kadha.
Mawazo Gani hayo😄Niachane na mawazo ya kijinga nitafute hela 😂😂
Tumefanana mawazo aisee,natamani hivyo pia.Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁
Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"
Wewe ni Mimi kabisa.Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri [emoji16]
Vijana wa ovyo watakuja [emoji116]
"Tafuta pesa"
😂😂🤣🤣🤣Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁
Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"