Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Natamani biashara yangu ya majeneza ikue kiasi kwamba niweze kuexport mzigo mpaka nje ya nchi kama Nigeria, South Africa, Ikiwezekana hata mataifa ya Ulaya
Tatizo ni connection tu
Ningepata hata connection ya mtu mkubwa mfano inapotokea maafa makubwa yale ambayo serikali huwa inaghalimia mazishi unakuta kunahitajika hata majeneza kuazia 50 kwa mkupuo au zaidi yaani hapo mtu una uhakika wa kupata hela ya maana kwa mkupuo zikipatikana tenda kama hizo mara kwa mara halafu unafanyiwa connection peke yako unapiga hela kinoma ila ndo ivo tena sina hata ndugu mmoja mwenye cheo serikalini ila huwa natamani sana kupata michongo kama hiyo
 
Mbwa dume
 
Mimi kwa ninachotamani kwa sasa ni nikutane na mtu ambaye simjui na hanijui hayupo mazingira ninayoishi. Nina upuuzi wangu mmoja hivi nataka nimhadithie nimechoka kukaa na huo upuuzi mwenyewe.
Mpaka umuone live au hata video [emoji1] maana mimi niko Mexico nakufaa kwani hunijui wala sikujui
 
Wish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…