Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,430
- 5,910
Akuuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23] [mention]Marcy [/mention] ujanijua bado naomba to meet leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akuuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23] [mention]Marcy [/mention] ujanijua bado naomba to meet leo
Mbwa dumeNatamani biashara yangu ya majeneza ikue kiasi kwamba niweze kuexport mzigo mpaka nje ya nchi kama Nigeria, South Africa, Ikiwezekana hata mataifa ya Ulaya
Tatizo ni connection tu
Ningepata hata connection ya mtu mkubwa mfano inapotokea maafa makubwa yale ambayo serikali huwa inaghalimia mazishi unakuta kunahitajika hata majeneza kuazia 50 kwa mkupuo au zaidi yaani hapo mtu una uhakika wa kupata hela ya maana kwa mkupuo zikipatikana tenda kama hizo mara kwa mara halafu unafanyiwa connection peke yako unapiga hela kinoma ila ndo ivo tena sina hata ndugu mmoja mwenye cheo serikalini ila huwa natamani sana kupata michongo kama hiyo
I want to travel Canada or USA for job, someone can connect me somewhere I will appreciate...What do you need most now
Drop it
Me: Laughter
Niko hapa Mama!Mume halali wa ndoa, [emoji8][emoji8][emoji8]
Mkuu tupambane hapa hapa....hii nauli tu ni mtaji Tosha.....by the way Kila binadamu ana ndoto zake.....all the bestI want to travel Canada or USA for job, someone can connect me somewhere I will appreciate...
[emoji8][emoji8][emoji8]Niko hapa Mama!
UtapataConnection ya NIMR mwanza kuna kazi kule ila connection sina
Mpaka umuone live au hata video [emoji1] maana mimi niko Mexico nakufaa kwani hunijui wala sikujuiMimi kwa ninachotamani kwa sasa ni nikutane na mtu ambaye simjui na hanijui hayupo mazingira ninayoishi. Nina upuuzi wangu mmoja hivi nataka nimhadithie nimechoka kukaa na huo upuuzi mwenyewe.
Money 💰🤑 speak 🗣️Mkopo wa laki 2
Ndani au nje ya nchi...Voyage
WishNatamani kupata 120,000 Tzs nikamilishe malipo ya Domain, Host nk ya Website/Blog yangu changamoto imekuwa kubwa sana pesa napata chache majukumu ya home makubwa nina Goals kadhaa huu mwaka kubwa ila nikikamilisha hii kwa wakati itaweza fungua zingine zaidi kwasbabu nimeamua kwa dhati kuwekeza nguvu kwenye TECHNOLOGY
Mpaka Sasa nimeshandaa makala zaidi ya 100 zenye ujazo wakutosha na kujifunza mbinu za SEO changamoto kumiliki Website, so Mungu anipe mtu atayeniwezesha hili hata kwa mkopo nitamlipa kidogo kidogo kila Mwezi maana changamoto kwangu kumiliki pesa ya pamoja majukumu
Hizi makala za Blog 👇👇
View attachment 2491270
Katika Goal nne za mwaka huu Blogging mojawapo na ndio natakiwa niifanye kwa haraka zaidi (Fast not Shortcut)
View attachment 2491261
Natamani kukamilisha hili kwa wakati sana
Popote tu mkuuNdani au nje ya nchi...
Type ABC za Mexico huko maybe tuka joinMpaka umuone live au hata video [emoji1] maana mimi niko Mexico nakufaa kwani hunijui wala sikujui
Nitafte Mimi uniambie....Mimi kwa ninachotamani kwa sasa ni nikutane na mtu ambaye simjui na hanijui hayupo mazingira ninayoishi. Nina upuuzi wangu mmoja hivi nataka nimhadithie nimechoka kukaa na huo upuuzi mwenyewe.
Weka namba chap.Elfu kumi