Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu?

KUFARIKI DUNIA
Usikate tamaa ya maisha yamkini upo karibu na nuru kuliko unavyodhani. Mtumainie MUNGU nae hatakuacha kamwe maana amesema hatatuacha wala kutupungukia hivyo kua na imani tu utavuka ndugu yangu. MUNGU anasema yeye ni MUNGU wa wote wenye mwili na hakuna jambo asiloliweza . Hang in there jipe moyo na utavuka hiyo changamoto uliyo nayo. Bado MUNGU anakupenda na ana mambo makubwa mazuri ya kukufanyia.
 
Ubarikiwe sana
 
Asante sana...
 
Ushaur mzur sanaa
 
Ameen, barikiwa sana kiongozi but hali ikiendelea like this, you will hear on media somebody has committed suicide somewhere on Earth and he has bought his ticket straight to Heaven,
 
Ukiona unaonywa na watu zaidi ya mmoja juu ya kitu fulani, rudi nyuma ujiulize tena kabla ya kuendelea.
yaani watu zaidi ya watatu wamekuwa wakinionya kufanya safari za pikipiki usiku (kuanzia saa 1 ) ila mimi nikaona kawaida juzi nimepata ajari daaaah hali mbaya hapa hadi najuta mkuu.
 
yaani watu zaidi ya watatu wamekuwa wakinionya kufanya safari za pikipiki usiku (kuanzia saa 1 ) ila mimi nikaona kawaida juzi nimepata ajari daaaah hali mbaya hapa hadi najuta mkuu.
Umepata matibabu vizuri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…