Usikate tamaa ya maisha yamkini upo karibu na nuru kuliko unavyodhani. Mtumainie MUNGU nae hatakuacha kamwe maana amesema hatatuacha wala kutupungukia hivyo kua na imani tu utavuka ndugu yangu. MUNGU anasema yeye ni MUNGU wa wote wenye mwili na hakuna jambo asiloliweza . Hang in there jipe moyo na utavuka hiyo changamoto uliyo nayo. Bado MUNGU anakupenda na ana mambo makubwa mazuri ya kukufanyia.Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu?
KUFARIKI DUNIA