Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Wataka kivazi gani, yani hayo mazingira ni ya kikaptula kabisa....😂 Kikaptula flani kifupi fupi sanaBadili mavazi kwanza ili usilete kipingamizi ndio tupange safari.
😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataka kivazi gani, yani hayo mazingira ni ya kikaptula kabisa....😂 Kikaptula flani kifupi fupi sanaBadili mavazi kwanza ili usilete kipingamizi ndio tupange safari.
😀
Tatizo ukinilipia "kimasihara" haiepukiki, mi nataka kwenda kukaa tu mwenyewe akili ipate utulivuPesa tutatumia zakwangu,wewe ni utayari wako tu.
Sio kweli bhana,Tatizo ukinilipia "kimasihara" haiepukiki, mi nataka kwenda kukaa tu mwenyewe akili ipate utulivu
Wow, that's my lady [emoji7]Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri [emoji16]
Vijana wa ovyo watakuja [emoji116]
"Tafuta pesa"
Kwa wengine ndogo sanaKamilioni tu.
Ngoja niandae sasa kibegi cha safari halafu nizame pm tupange 😁Sio kweli bhana,
Mimi sio kijana wa hovyo.
Utataka tu.Sitaki kitu
Kuna eneo kama hilo forest Hill Morogoro,chini Kuna mto umepita,,,laki na nusu siku 3...Tumefanana mawazo aisee,natamani hivyo pia.
Mkuu,Mimi ni mbeba box,nakomaa huku kwa marehemu Malkia kwanza.Kuna eneo kama hilo forest Hill Morogoro,chini Kuna mto umepita,,,laki na nusu siku 3...
Safi sana brother komaaMkuu,Mimi ni mbeba box,nakomaa huku kwa marehemu Malkia kwanza.
Mh ndo nini hiki nimepata notification kuwa umeni mention lakini jina sio langu inakuwaje hapaNamtaka Ms Bridgerton tu