Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁

Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"
Mi nachotaka ni kuwa nyuma yako nimekukumbatia huku umevaa hivo kikaptura chako😋, mi sitaki utajiri nataka hiko tu kwa sasa

Aise mwaka huu inabidi nioe maana comment yako imenitamanisha
 
Natamani kupata 120,000 Tzs nikamilishe malipo ya Domain, Host nk ya Website/Blog yangu changamoto imekuwa kubwa sana pesa napata chache majukumu ya home makubwa nina Goals kadhaa huu mwaka kubwa ila nikikamilisha hii kwa wakati itaweza fungua zingine zaidi kwasbabu nimeamua kwa dhati kuwekeza nguvu kwenye TECHNOLOGY

Mpaka Sasa nimeshandaa makala zaidi ya 100 zenye ujazo wakutosha na kujifunza mbinu za SEO changamoto kumiliki Website, so Mungu anipe mtu atayeniwezesha hili hata kwa mkopo nitamlipa kidogo kidogo kila Mwezi maana changamoto kwangu kumiliki pesa ya pamoja majukumu

Hizi makala za Blog 👇👇
View attachment 2491270

Katika Goal nne za mwaka huu Blogging mojawapo na ndio natakiwa niifanye kwa haraka zaidi (Fast not Shortcut)
View attachment 2491261

Natamani kukamilisha hili kwa wakati sana
Bado
 
Natamani kupata konyagi kubwa na soda mbili za spirite pamoja na nyama ya mbuzi.

Leo pagumu sijapata kichwa hata kimoja na hela ya bajeti niliyopewa imeisha ndani ya siku moja nipo nimejikunyata kama mjusi aliyebanwa na mlango [emoji848]
 
Back
Top Bottom