Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #461
Mm nipo huko 24/7 siku ingine ukija utanijuza japo tusalimiane...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nipo huko 24/7 siku ingine ukija utanijuza japo tusalimiane...
YesAhahah hupo kariakoo mkuu
Mm sio tajili ni mlala hoi...Nimeitikia wito tajiri
Mi nachotaka ni kuwa nyuma yako nimekukumbatia huku umevaa hivo kikaptura chako😋, mi sitaki utajiri nataka hiko tu kwa sasaKwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁
Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"
Basi Nenda - mo music 🎵🎵🎶🎶🎶Mi nachotaka ni kuwa nyuma yako nimekukumbatia huku umevaa hivo kikaptura chako😋, mi sitaki utajiri nataka hiko tu kwa sasa
Aise mwaka huu inabidi nioe maana comment yako imenitamanisha
Hiyo ngoma ndio ilifanya nikachange jina,naikubali sanaBasi Nenda - mo music 🎵🎵🎶🎶🎶
Ngoma kali sanaaaHiyo ngoma ndio ilifanya nikachange jina,naikubali sana
Ukiamin kinakua....it's true vitabu vya dini vinatufundisha......pokea kibali....Me kupata mtoto na mtu nimpendayeeee...
Mungu wa Mbinguni atupe kibali.....
Amina.....Ukiamin kinakua....it's true vitabu vya dini vinatufundisha......pokea kibali....
Nipe mbinuanza kwa kuwa chawa kwanza
Nimeangalia majina yote tena mara nyingi naona ya wengine tu...kwangu mkeka umechanikaUsijali mama Sa100 atakusuprise na uteuzi.....Maajabu yapo duniani yanaweza kukutokea mpaka wewe mwenyewe usiamini
I was just kidding, chiefType ABC za Mexico huko maybe tuka join
BadoNatamani kupata 120,000 Tzs nikamilishe malipo ya Domain, Host nk ya Website/Blog yangu changamoto imekuwa kubwa sana pesa napata chache majukumu ya home makubwa nina Goals kadhaa huu mwaka kubwa ila nikikamilisha hii kwa wakati itaweza fungua zingine zaidi kwasbabu nimeamua kwa dhati kuwekeza nguvu kwenye TECHNOLOGY
Mpaka Sasa nimeshandaa makala zaidi ya 100 zenye ujazo wakutosha na kujifunza mbinu za SEO changamoto kumiliki Website, so Mungu anipe mtu atayeniwezesha hili hata kwa mkopo nitamlipa kidogo kidogo kila Mwezi maana changamoto kwangu kumiliki pesa ya pamoja majukumu
Hizi makala za Blog 👇👇
View attachment 2491270
Katika Goal nne za mwaka huu Blogging mojawapo na ndio natakiwa niifanye kwa haraka zaidi (Fast not Shortcut)
View attachment 2491261
Natamani kukamilisha hili kwa wakati sana
Unataka uwe unaleta hesabu ??Mwenye pikipiki ambayo haitumii sana anipe jamani niokoe jahazi....hats kama ni kufanya marejesho ya taratibu. Help me wanajf wenzangu.