Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Je linacheza linapokutana na Mwanga au?Kitu gani kinapelekea kucheza kwa macho asa upande wa chini. Mm nimemaliza mwezi jicho la kushoto lina chenza upande wa chini na kichwa kinakuwa kizito.wakuu naombeni msaada wenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana hajakuelewaTafuta ni nini maana ya mboni halafu uje kuuliza swali upya
Mboni ikicheza si balaaa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana hajakuelewa
Usahihi: nyama ya juu ya jicho la kulia.Tafuta ni nini maana ya mboni halafu uje kuuliza swali upya
ThanksWhat Causes Eyelid Twitching?
-Stress
-Tiredness
-Eye strain
-Caffeine
-Alcohol
-Dry eyes
-Nutritional imbalances
-Allergies
Ushindwe na ulegee.Unacho kisema hata Mimi huwa kinanitokea,Ila kwangu Mimi kikitokea lazima nisikie taarifa ya msiba
Achana na hizo habari mkuuUshindwe na ulegee.