Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Sasa mbona aliingizwa wakati hakua na qualifications za hiyo kazi?GPA haimfanyi mtu kupata kazi gpa huwa wanaitumia tu kufanya mchujo wa awali wapate watu wachache watakaowafanyia written na kisha oral interview .
Nina jamaa yangu amepata kazi kampuni kubwa ya kiserikali na alikuwa na gpa chini ya 3.5 kumbuka walipotangaza nafasi ta kazi kigezo kilikuwa gpa ya 4.0 kwenda juu.
Gpa ilitumika kuwafanyia early vetting mzee ( kuwaogopesha tu mambo yasiwe mengi ) watu wasio wengi yeye akafanya ku apply basi tu ila sasa akaitwa akapiga written na oral hapo ana compete na walio na 4.0 + gpa na akapata .Sasa mbona aliingizwa wakati hakua na qualifications za hiyo kazi?
πππππβI think college is basically for fun and to prove that you can do your chores, but they're not for learning,β
Uwezo wa nini?Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8.
Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi.
Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo.
Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
Nimefanyia watu interview nyingi mno na nimefanya kazi na watu wengi. Sijawahi kupata GPA ya 4 ikaniangusha kwenye kazi. In most cases 99% GPA kubwa ina maanisha mtu ana uwezo mkubwa..katika theory na kazi. Ana analytical and thinking capacity kubwa kitu ambacho ni adimu sana kwa vijana wa kitanzaniaTambua hili mfano mwenzio ana GPA ya 2.7 wewe una 4.2 ukienda pale utumishi kama sio zile kazi za kuwa mkufunzi ,hizi za gombania goli tambua kufanya vizuri interview kutakupa nafasi .
Tambua interview nyingi ni kama zali unaweza ukawa na GPA kuwa ila sio smart ukafeli mtihani mdogo hata oral usifike...Hapa kweny kufeli Kuna mengi sana unaweza usimalize mtihani basi ushalost mwenzio kapasua, mwisho wa siku yuko kazini ndo anaanza kushika pesa ndefu wewe bado unazunguka tu kitaa.
Unaweza kuwa na GPA kubwa ila uwezo wa kujieleza kweny interview ni chenga , kiujumla hauna confidence ukapitwa ..Wapo Wanajua kuandika wako fresh ila kuongea kingereza ni chenga..
Mimi nimesoma na mkenya alipata form ila alikuwa yuko mbele kweny debate zote tangu form one yaani kuongea ni mjanja, akaenda diploma mambo ya afya...Jamaa yuko NGO'S moja walikuja fanyiwa interview akapita na mpaka nakuambia ana masters alijiendeleza degree mpaka masters kitambo sana..Tatizo lake kubwa hesabu hapatani nazo kabisa alikula Fπππ
Kwa asilimia kubwa hata pale utumishi vile vimtihani wanapiga fresh ..Ishu ni ile unakuta siku umeenda kombo mambo sio fresh ..Nimefanyia watu interview nyingi mno na nimefanya kazi na watu wengi. Sijawahi kupata GPA ya 4 ikaniangusha kwenye kazi. In most cases 99% GPA kubwa ina maanisha mtu ana uwezo mkubwa..katika theory na kazi. Ana analytical and thinking capacity kubwa kitu ambacho ni adimu sana kwa vijana wa kitanzania
Uko sawa kabisa mie nakumbuka nilipohitimu kidato cha sita nilibahatika kupata ajira Mgodini kampuni kubwa tu hapa Tanzania, niliingia kama mine trainees ( Mchimbaji mwanafunzi) nilikaa kwenye hiyo kazi mda tu huku najipanga kurudi shule siku moja nikaona tangazo la kazi humo ndani ya kampuni vigezo wanahitaji mtu aliyesomea Mine engineer, duh mie nikaona isiwe shida acha niombe tu wakiniita nitajaribu maana kigezo kingine uwe mzuri kwa hisabati na mie kwawakati huo nilikua sijambo kweli kwenye hisabati na ukizingatia bado shule haijaisha kichwani kipindi hiko Mungu si abdallah kikaitwa kufanya usahili tukiwa watu Hamsini na nafasi taraji ni sita tu ajabu nilipambana nikawashinda mpaka waliokuwa na vigezo zaidi yangu kumbe mie ndio nilijibu maswali yote kwaufasaha zaidi, Unajua ukikuta usahili anafanyisha mtu kutoka nje ya nchi unaweza kufurahia sana hakuna longolongo kama Watanzania wenzetu, Hivyo kijana jiamini tu unapoona nafasi ya kazi na sifa angalau unaendana nazo jaribu mengine makaratasi tu wala yasije kukutisha.Gpa ilitumika kuwafanyia early vetting mzee ( kuwaogopesha tu mambo yasiwe mengi ) watu wasio wengi yeye akafanya ku apply basi tu ila sasa akaitwa akapiga written na oral hapo ana compete na walio na 4.0 + gpa na akapata .
Kikubwa ukiona kazi kigezo ni gpa nabhauna kigezo cha gpa we apply tu maana mara nyingi huwa hawaiangalii hiyo gpa kazini wanataka ujuzi wako na uwepesi wako wa kujifunza mambo mengi.
Ajira ni mpango wa Mungu kijana wala usijisifu. Ila mwenye A na GPA zake ndio mwenye uwezo kukuzidi. Wote wanaokuongoza katika taifa hili fuatilia ufaulu wao, hakuna mbumbu wote wamekula vitabu na wana GPA kubwa. Ni mmoja mmoja wasio na good education track record.Uko sawa kabisa mie nakumbuka nilipohitimu kidato cha sita nilibahatika kupata ajira Mgodini kampuni kubwa tu hapa Tanzania, niliingia kama mine trainees ( Mchimbaji mwanafunzi) nilikaa kwenye hiyo kazi mda tu huku najipanga kurudi shule siku moja nikaona tangazo la kazi humo ndani ya kampuni vigezo wanahitaji mtu aliyesomea Mine engineer, duh mie nikaona isiwe shida acha niombe tu wakiniita nitajaribu maana kigezo kingine uwe mzuri kwa hisabati na miraba kwawakati huo nilikua sijambo kweli kwenye hisabati na ukizingatia bado shule haijaisha kichwani kipindi hiko Mungu si abdallah kikaitwa kufanya usahili tukiwa watu Hamsini na nafasi taraji ni sita tu ajabu nilipambana nikawashinda mpaka waliokuwa na vigezo zaidi yangu kumbe mie ndio nilijibu maswali yote kwaufasaha zaidi, Unajua ukikuta usahili anafanyisha mtu kutoka nje ya nchi unaweza kufurahia sana hakuna longolongo kama Watanzania wenzetu, Hivyo kijana jiamini tu unapoona nafasi ya kazi na sifa angalau unaendana nazo jaribu mengine makaratasi tu wala yasije kukutisha.
Duh! pole sana hivi unajua hata hii elimu tunayoisoma walioleta hawakuwa na hii mambo unayoona ya maana? Watu walioleta hii elimu hawakusoma pahala popote mbali walikua na akili tu hivyo kumbuka ndugu kuna tofauti kati ya kusoma na akili, maana mtu anaweza kuwa kasoma sana tu lakini akakosa akili japo kuna ufungamani kidogo kati ya akili na elimu, akili mtu huzaliwa nayo na hauwezi kuihuisha kwa mwingine isipokuwa elimu ndio hufanywa hivyo na si akiliAjira ni mpango wa Mungu kijana wala usijisifu. Ila mwenye A na GPA zake ndio mwenye uwezo kukuzidi. Wote wanaokuongoza katika taifa hili fuatilia ufaulu wao, hakuna mbumbu wote wamekula vitabu na wana GPA kubwa. Ni mmoja mmoja wasio na good education track record.