Mm siamini sana kwenye ukubwa na udogo wa GPA, ila katika skills, competence, networking n.k sio wote wenye GPA kubwa wana uwezo mkubwa wa hivyo vitu ambavyo soko la ajira linataka mfano unakuta mtu kweli yuko smart kichwani, ana GPA kubwa lakini presentation skills zake za kile anachokijua ni za hovyo sana, kiasi inakuwa ngumu kumshawishi mtu kama kweli ile GPA ni yake.
Lakini unakutana na mwenye 2.7 yuko smart sana kuanzia organization skills, presentation, networking sasa kama ww muajiri una mchukua yupi