Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

Tunaomba passmark za kwenda form six miaka ya 90 tulinganishe na sasa. Angekua hana uwezo mkubwa asingechaguliwa UDSM. Pass mark za kuingia UDSM huwa kubwa sana.
Kwa ngazi ipi?
Degree?
Diploma?

Unadhani zilikuwa na tofauti na miaka ya 2000?
 
Acha uongo ndugu yangu kuna jamaa yangu aliingia na E flat nao ni ufaulu mkubwa tena siyo huyo na mwingine alikua na EES
Watu humu wanadhani yule nae alikuwa genius?

Kaunga kama alivyounga Suluhuhu
 
Outlier.

Watu wanadili na outlier kudroo conclusion

Ikiwapendeza kila mchangiaji aanze kwa kusema kuwa alipata GPA kubwa au ndogo ndio aendelee na mchango
Nina 3.0 nilihakikisha tu niwezekwenda masters bila usumbufu.

Nina ushuhuda binafsi, ilitolewa quiz kipindi nipo mwaka wa kwanza nikala 2 ya 50 kikaandikiwa 'see me' kisa nilijibu kwa kitabu ambacho hakukitumia lecturer kufundishia, na hapo kozi ni sheria vitabu vingi.

Lecturer nilivyoenda muona akanichana live kuwa anajya kabisa nipo sahihi ila yeye alikuwa anataka kujua wangapi walikuwepo darasani wakati anafundisha, sababu waliokuwepo wangetaja kile kitabu alichotumia kufundishia. Aisee nilichoka nikasema sitakaa niwe serious na elimu ya chuo.

Nikawa naingia seminar tu nikitokanaendelea na mambo yangu, sikuwahi kusoma notes sababu kila kitu kilichofundishwa nilikua nakumbuka kama hadithi vile, nikawa najisomea vitabu ila kwenye mtihani najibu zile hadithi za class nkamaliza na 3.0 yangu mkononi nikaenda law school kukomaa nkatoka chapu nkawaacha wadau wa hadithi za ma lecturer pale.

Elimu ya chuo kikuu TZ ni mzozo sana.
 
Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8.

Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi.

Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo.

Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
Eti hii nayo ni thread
 
Nina 3.0 nilihakikisha tu niwezekwenda masters bila usumbufu.

Nina ushuhuda binafsi, ilitolewa quiz kipindi nipo mwaka wa kwanza nikala 2 ya 50 kikaandikiwa 'see me' kisa nilijibu kwa kitabu ambacho hakukitumia lecturer kufundishia, na hapo kozi ni sheria vitabu vingi.

Lecturer nilivyoenda muona akanichana live kuwa anajya kabisa nipo sahihi ila yeye alikuwa anataka kujua wangapi walikuwepo darasani wakati anafundisha, sababu waliokuwepo wangetaja kile kitabu alichotumia kufundishia. Aisee nilichoka nikasema sitakaa niwe serious na elimu ya chuo.

Nikawa naingia seminar tu nikitokanaendelea na mambo yangu, sikuwahi kusoma notes sababu kila kitu kilichofundishwa nilikua nakumbuka kama hadithi vile, nikawa najisomea vitabu ila kwenye mtihani najibu zile hadithi za class nkamaliza na 3.0 yangu mkononi nikaenda law school kukomaa nkatoka chapu nkawaacha wadau wa hadithi za ma lecturer pale.

Elimu ya chuo kikuu TZ ni mzozo sana.
Law ni special case fulani hivi ila watu wa science lecturer ni ngumu kumbania mtu.
 
Ndio zamani vyuo vilikua vingapi, shule za advance zilikua ngapi. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Zamani ipi unayoiongelea?

Naizungumzia Toka mwaka 1980 mpaka 2014.

Mtu akiwa na principal pass(EEE) alikuwa anakwenda university direct.

Kipindi hicho wenye principal pass Moja au mbili wanakwenda Diploma.

Kabla magugu hajaja kubadili mfumo na kuweka cut points ni 4.

Sasa huyu wa kuunga Unga ana tofauti gani na hao mnao wasema.
 
Law ni special case fulani hivi ila watu wa science lecturer ni ngumu kumbania mtu.
Hiyo kitu ilinishangaza sana, kwamba ni lazima nijibu alichosema lecturer kwenye seminar, ili nifaulu. Yaani quiz inatolewa kupima attendanc badala ya knowledge.

Uzuri Sayansi, 1 + 1= 2, huwezi kuja na majibu yako tofauti ila kwa fani za social kwa ground mambo ni mzozo sana.
 
Wewe Kikwete unamjua vizuri?? Na huyo mwinyi unamjua vizuri. Kikwete kasoma UDSM. UDSM huwa hawaendi waliofeli boss.
Kwahiyo ukishafika UDSM hufeli mkuu. Kwamba UDSM huwa hakuna mitihani kila ukifika unafaulu pale.

Mwinyi nisimjue vizuri we unayemjua mbona sasa hujapinga au unataka kusema alisomea udaktari na akawa bingwa wa upasuaji. Yule mwalimu kama hujaamini soma hata official CV yake, alipata Certificate ya Ualimu. Hayo mengine alijiendeleza
 
Uko sawa kabisa mie nakumbuka nilipohitimu kidato cha sita nilibahatika kupata ajira Mgodini kampuni kubwa tu hapa Tanzania, niliingia kama mine trainees ( Mchimbaji mwanafunzi) nilikaa kwenye hiyo kazi mda tu huku najipanga kurudi shule siku moja nikaona tangazo la kazi humo ndani ya kampuni vigezo wanahitaji mtu aliyesomea Mine engineer, duh mie nikaona isiwe shida acha niombe tu wakiniita nitajaribu maana kigezo kingine uwe mzuri kwa hisabati na mie kwawakati huo nilikua sijambo kweli kwenye hisabati na ukizingatia bado shule haijaisha kichwani kipindi hiko Mungu si abdallah kikaitwa kufanya usahili tukiwa watu Hamsini na nafasi taraji ni sita tu ajabu nilipambana nikawashinda mpaka waliokuwa na vigezo zaidi yangu kumbe mie ndio nilijibu maswali yote kwaufasaha zaidi, Unajua ukikuta usahili anafanyisha mtu kutoka nje ya nchi unaweza kufurahia sana hakuna longolongo kama Watanzania wenzetu, Hivyo kijana jiamini tu unapoona nafasi ya kazi na sifa angalau unaendana nazo jaribu mengine makaratasi tu wala yasije kukutisha.
True na ambacho wanafunzia wa vyuo vikuu na vya kati hawajui ni kwamba wao wanaenda chuo kutafuta gpa kubwa na si kutengeneza connection nakujifunza extra cullicular activities ambazo ndiyo zina hela kuliko hata hicho wanachokisomea .

Ni bora sana yule anayemaliza na 3.0+ gpa lakini akatoka hapo chuo ana zaidi ya kile alichosomea kuliko yule ambaye ana 5.0 gpa halafu alichonacho ni hicho hicho alichokisomea this is waste of time .

Ila kwa ushauri ili malengo mengi yatimie pata angalau 3.5 gpa ili kama unataka kuwa lecturer haitokuzuia kitu.
 
😀😀😀😀😀heee watu mbona mnamawazo haya. Yaani unahimiza watu wapate GPA ndogo. 😀😀😀😀Kwani ukipata ya 5 hizo shughuli zingine huwezi kufanya.
 
imenibidi nikucheke kwanza eti 4.0 gpa inamaanisha una good analytical skills? 3.5 na 4.0 si ni upper second class au mimi ndo sijui?

4.0 haimaanishi chochote kwenye uwanja wa analysts na management kikubwa wanachoangalia waajiri (kama utataka kuajiriwa) ni uelewa na uzoefu wako ndo wakupe hiyo nafasi .
 
Back
Top Bottom