Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€heee watu mbona mnamawazo haya. Yaani unahimiza watu wapate GPA ndogo. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Kwani ukipata ya 5 hizo shughuli zingine huwezi kufanya.
Kama umeelewa post yangu vizuri sijamlazimisha mtu apate gpa ndogo mkuu ila unachoshindwa kujua wengi wanao focus na gpa kubwa huwa hawana muda wa kuongeza ujuzi nje ya kile wanachokisomea .
 
GPA haimfanyi mtu kupata kazi gpa huwa wanaitumia tu kufanya mchujo wa awali wapate watu wachache watakaowafanyia written na kisha oral interview.

Nina jamaa yangu amepata kazi kampuni kubwa ya kiserikali na alikuwa na gpa chini ya 3.5 kumbuka walipotangaza nafasi ta kazi kigezo kilikuwa gpa ya 4.0 kwenda juu.
Usanii mtupu wenye gpa kubwa nimesoma nao hawana uwezo wowote zaidi ya kucheat kwenye mtihani
 
Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8.

Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi.

Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo.

Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
Nilikuja kugundua kumbe watu walikuwa wanatumia boom kuhonga ma lecturer wawavujishie paper mm niliamini msuli Tembo niliotoka nao Advance ndio utanitoa maana nilikuwa natokea nyumbani kwenda chuo kumbe haikuwa hivyo mwisho nikaambulia GPA ya 3.4 wenzangu wengi 3.5 Na kuendelea

Funzo: Ukiwa chuoni jitahid uishi Hostel Na pia Jenga urafiki na watoto wazuri pamoja wala bata hilo kundi lina msaada mkubwa sana.
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Hee chuo gani hicho boss.
 
Aisee! Ok nini husababisha kwenye mitihani ile ile, mmoja anakuwa wa 1 na mwingine anakuwa wa 20 kati ya wanafunzi 40?
Bwana magari usipoeleqa swali sio dhambi ukasubiria michango ya wajuvi.
Kwa kifupi hujaelewa swali
 
Haya nieleweshe bwana wa kuelewa maswali
Anachotaka kujua ni yupi aliyefaulu kati ya gpa ndogo na kubwa.
Eg. 3.5 na 3.8
Kifupi anatakabkujua ufaulu unavyopangwa kwa mtindo wa GPA
 
Anachotaka kujua ni yupi aliyefaulu kati ya gpa ndogo na kubwa.
Eg. 3.5 na 3.8
Kifupi anatakabkujua ufaulu unavyopangwa kwa mtindo wa GPA
Ahahahahaha hapa unanielekeza chaka mkuu..!! Karudie kusoma swali lake
 
Uwezo wa nini?
Kuwa na GPA kubwa inaweza kuonyesha uwezo ki taaluma,kama GPA hizo zimepatikana bila magumashi,ila kama imepatikana ki magumashi,sio chochote,
Wakati Bado nimeajiliwa tulikuwa na ma "engineer"kutoka vyuoni wenye shahada za mechanical engineering,lakini walikuwa hawana uwezo wa kufungua engine ya gari na kufanya matengenezo!kazi zilikuwa zinafanywa na kijana wa VETA Tena std 7!!
Kwa sasa hv GPA kubwa ,ndogo,sio uthibitisho kama unajua kitu!!
Elimu ni performance,unaweza kufanya nini?kama ulichosomea huwezi kujifanya,sasa hizo GPA za kujibia mitiani,hazina maana
Lakini, kumbuka hao ma-engineer ndio wanapokea mshahara mnono na marupurupu kibao kumzidi huyo kijana wa VETA.

Vyeti vya elimu ya juu bado Vina faida kubwa sana kwenye ajira. Huo ndio ukweli.
 
Uwezo wa nini?
Kuwa na GPA kubwa inaweza kuonyesha uwezo ki taaluma,kama GPA hizo zimepatikana bila magumashi,ila kama imepatikana ki magumashi,sio chochote,
Wakati Bado nimeajiliwa tulikuwa na ma "engineer"kutoka vyuoni wenye shahada za mechanical engineering,lakini walikuwa hawana uwezo wa kufungua engine ya gari na kufanya matengenezo!kazi zilikuwa zinafanywa na kijana wa VETA Tena std 7!!
Kwa sasa hv GPA kubwa ,ndogo,sio uthibitisho kama unajua kitu!!
Elimu ni performance,unaweza kufanya nini?kama ulichosomea huwezi kujifanya,sasa hizo GPA za kujibia mitiani,hazina maana
Unaupima uwezo wa Mechanical Engineer kwenye kufungua engine ya gari..!!!! Unazijua topics wanazosoma?
 
Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8.

Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi.

Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo.

Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
Ulitaka ile ya 35 kama ya yule Mjita aliyeulizwa na JPM?
 
Uko sawa kabisa mie nakumbuka nilipohitimu kidato cha sita nilibahatika kupata ajira Mgodini kampuni kubwa tu hapa Tanzania, niliingia kama mine trainees ( Mchimbaji mwanafunzi) nilikaa kwenye hiyo kazi mda tu huku najipanga kurudi shule siku moja nikaona tangazo la kazi humo ndani ya kampuni vigezo wanahitaji mtu aliyesomea Mine engineer, duh mie nikaona isiwe shida acha niombe tu wakiniita nitajaribu maana kigezo kingine uwe mzuri kwa hisabati na mie kwawakati huo nilikua sijambo kweli kwenye hisabati na ukizingatia bado shule haijaisha kichwani kipindi hiko Mungu si abdallah kikaitwa kufanya usahili tukiwa watu Hamsini na nafasi taraji ni sita tu ajabu nilipambana nikawashinda mpaka waliokuwa na vigezo zaidi yangu kumbe mie ndio nilijibu maswali yote kwaufasaha zaidi, Unajua ukikuta usahili anafanyisha mtu kutoka nje ya nchi unaweza kufurahia sana hakuna longolongo kama Watanzania wenzetu, Hivyo kijana jiamini tu unapoona nafasi ya kazi na sifa angalau unaendana nazo jaribu mengine makaratasi tu wala yasije kukutisha.
Hili la kufanyiwa interview na wenzetu wa nje,nakukubalia 100% ,hawana longo longo
 
Ajira ni mpango wa Mungu kijana wala usijisifu. Ila mwenye A na GPA zake ndio mwenye uwezo kukuzidi. Wote wanaokuongoza katika taifa hili fuatilia ufaulu wao, hakuna mbumbu wote wamekula vitabu na wana GPA kubwa. Ni mmoja mmoja wasio na good education track record.
Kikwete alikuwa na GPA ya 2.5 lakini amekuwa raisi Tanzania.Tunao viongozi wetu wengi na wafaham wana GPA ndogo sana
 
Back
Top Bottom