Uwezo wa nini?
Kuwa na GPA kubwa inaweza kuonyesha uwezo ki taaluma,kama GPA hizo zimepatikana bila magumashi,ila kama imepatikana ki magumashi,sio chochote,
Wakati Bado nimeajiliwa tulikuwa na ma "engineer"kutoka vyuoni wenye shahada za mechanical engineering,lakini walikuwa hawana uwezo wa kufungua engine ya gari na kufanya matengenezo!kazi zilikuwa zinafanywa na kijana wa VETA Tena std 7!!
Kwa sasa hv GPA kubwa ,ndogo,sio uthibitisho kama unajua kitu!!
Elimu ni performance,unaweza kufanya nini?kama ulichosomea huwezi kujifanya,sasa hizo GPA za kujibia mitiani,hazina maana