Ni kipi kilisababisha Magufuli kupiganiwa na makabila matatu ?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa ni nini mpaka makabila haya manne yote kulazimisha hayati kuwa mtu wa kabila lao
 
Kuna sababu kubwa mbili.

1- Magufuli KUTOKUWA na Agenda. Ndio maana alikuwa akifika sehemu anajifanya yeye ni wa eneo Hilo ili kutafuta uhalali wa kupewa kura au kukubalika kwamba Ni wa nyumbani.

(Uchaggani alioa, Uhayani ( Mzilankende myango, Usukumani aliongea kisukuma majukwaani n.k )

2- Watanzania wengi wako hivyo. Kujaribu kujihusisha na mtu yeyote ambaye anaonekana ana mamlaka na umaarufu.
 
Mke wa magufuli kumbe ni mchaga?
 
Hakuna siku inapita bila kufunguliwa Uzi unaomhusu JPM...heb tujikite kwa Beni au JKN sio poa kuwasahau na hawa marehemu wengine...
 
Back
Top Bottom