unahitaji tatizoKwani tatizo liko wapi mkuu!
Kuna sababu kubwa mbili.nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa ni nini mpaka makabila haya manne yote kulazimisha hayati kuwa mtu wa kabila lao
wengi wako hivyo. Kujaribu kujihusisha na mtu yeyote ambaye anaonekana ana mamlaka na umaarufu.
mrundi wa hapo ChatoAlikuwa Mrundi,acha kutubabaisha.
Mrundi wa Burundi.mrundi wa hapo Chato
Kuna sababu kubwa mbili.
1- Magufuli KUTOKUWA na Agenda. Ndio maana alikuwa akifika sehemu anajifanya yeye ni wa eneo Hilo ili kutafuta uhalali wa kupewa kura au kukubalika kwamba Ni wa nyumbani.
(Uchaggani alioa, Uhayani ( Mzilankende myango, Usukumani aliongea kisukuma majukwaani n.k )
2- Watanzania wengi wako hivyo. Kujaribu kujihusisha na mtu yeyote ambaye anaonekana ana mamlaka na umaarufu.
Sina hakika lakini niliwahi kumsikia akisema hivyo kwenye kampeniMke wa magufuli kumbe ni mchaga?
mkubwa Kagame ni mtutsi sio muhutuYule alikuwa ni mhutu....huoni alikuwa anamkubali sana kagame....
Kwahio wahutu na watusi siku hizi wanapendana sana sio?Yule alikuwa ni mhutu....huoni alikuwa anamkubali sana kagame....
Cain na Abel hao, ni ndugumkubwa Kagame ni mtutsi sio muhutu