Kuna sababu kubwa mbili.
1- Magufuli KUTOKUWA na Agenda. Ndio maana alikuwa akifika sehemu anajifanya yeye ni wa eneo Hilo ili kutafuta uhalali wa kupewa kura au kukubalika kwamba Ni wa nyumbani.
(Uchaggani alioa, Uhayani ( Mzilankende myango, Usukumani aliongea kisukuma majukwaani n.k )
2- Watanzania wengi wako hivyo. Kujaribu kujihusisha na mtu yeyote ambaye anaonekana ana mamlaka na umaarufu.