Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

Dah
 
yani jirani wanadamu hatuna jema mkipika dagaa watakwambia mchoyo...wakati tunakula wote,,, hapo siku mlale njaa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
niliapa sitakaa Tena na ndugu nilikaa na mtoto mmona Hivi akataka kuniletea msala sitasahau maisha yote nikamrudisha kwao Kwa ndugu UPANDE Wa baba Ake after a month shangazi yake akapiga ananiuliza,"uliwezaje miàka yote kuishi nae"?nkamuambia "kibovu chako,komaa TU mi si mliniona mbaya"wakamtimua Kwa shangazi yake maana walimchoka vituko vyake Yuko Kwa dada Ake Nako ka kua Hana pa kumpelekea...Sina hamu tena
 
vizuri kama na wao wameshuhudia kwa macho yao...
 
Ni kweli mkuu!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
kuna kazi ilitokea jeshini yaani mafunzo ya jeshi (jw) kipindi hicho mkuu wa kambi ana pewa nafasi za watu watatu kuwaingiza jeshini bure basi nafasi ikawa imedondokea kwangu,rafikiake na mkuu wa kambi ni ndugu yetu sa akawa amepeleka jina langu kule kwa mkuu kule lugaro, mzee sikuya mwisho ana ambiwa mwanao anatakiwa alipoti ila andaa jiwe3 za soda akagoma.usiku na kuja kusikia ana mueleza bi mdogo ,yaani aende jeshi siatatusumbua huyu iliniuma kinoma,nikapata rafiki baharia wa meli kikabila ni muhaya,ye anaishi uk anagereji akamwambia dingi nienda ymca pale posta nisome mechanico injiniaring chakusikitisha niliishia kupigwa nondo nashule sikumaliza, jamaa anataka atumeviza dingi akamwambia nimehuni shule basi ikaishia hivyo.nachoshukuru mungu hajaniacha bahati bado ipo kwangu. Na dingi baadae alifirisika amebaki hana jeuri.n.b wazazi wengine ni wabinafsi hata kwa watoto wao wakuwazaa,nawaza sasaiv ningekuwa zangu jw au uk. ila hapa hapa maisha yanajipa dingi jeuri hana loho mbaya ilimponza.
 
siku moja nikapokea mpunga wa maana yani pesa ndefu wakati nazipanga vizuri nikiwa chumbani kumbe chalii wangu ananiona. Si akaenda kumtonya kibaka aisee usiku mzima nimelala na kibaka akinipiga sachi ya maana. Kumbe nilivomaliza kupanga nikawe ndani ya spika sebuleni, nikaja kugundua ishu nzima asubuhi. Dah dunia ina mengi
 
yani jirani wanadamu hatuna jema mkipika dagaa watakwambia mchoyo...wakati tunakula wote,,, hapo siku mlale njaa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dawa yao wakija tena, wapikie ugali na kachumbali [emoji23][emoji23]
 
Mdau nishakufahamu. Hiyo kampuni naijua ilikua maeneo ya mbozi road sasa ilishafirisika, na hayo mabango ni ya kampuni ya soda pendwa ile ya mkubwa wao.
 
Wewe na Mimi hatupishani. SI yeye ni sababu ya huyo bi mdogo. Ametumwa toka kuzimu au ujinini ama angani kuhakikisha hufikii lengo Mungu alilokuumba kwalo. Hayo uliyopata ni madogo mengi bado yako kwake huyo bi mdogo.

Sent from my itel A512W using JamiiForums mobile app
 
dah nikifikiriaga na huzunikaga sana ,ndoto zangu kuzimwa na watu wakalibu.kuhusu bimdogo nakubali ila na dingi ni mnoko sana kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…