Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

I like this, maelezo yako yanaonyesha wazi unaijua proffession yako
 
Kangaroo
 
Umeenda mshazari kidogo na kichwa cha uzi Komredi..., ila ahsante kwa ushuhuda wako. Hakika binafsi nimevutiwa na fani yako... thumbs up!!!
 
Ebana Komredi Toxic hukaukiwi Busara mzee wangu... hakika umemjibu bwana Inama kwa busara na hekima iliyotukuka! Thumbs up tena kwako Komredi! 👍🏾😅
 
Wakati wa msoto tulikuwa tuhahusle pamoja vile walivyofanukiwa ,Kila mmja alinitenga,ila Mungu yupo ananitetea always.
Washamba hao! Achana nao 😊

Stop Complaining kijana..., mungu humpa amtakae kwa makusudi yake. Kuwa na subra na achana nao!
 
Pole sana ndugu yangu... si wewe tu. Wazazi wengi ni kweli wabinafsi na wana uwezo wa kuwasaidia watoto wao. Niishie tu hapo
 
Wake wadogo Wana roho mbaya sana naapa kama Sio baba angu kua na msimamo nisingesoma mama alijaribu Hila zote alifeli,ukikuta baba nae hajielewi K imemkolea mama wa kambo nuksi sana..
 
Aseehh mchawi mtu Paka anatumwa tuuu
 
Heee... subhana llaahh...pole sana
 
Watu tukiwaambia kuna wazee aidha wanabagua au hawawapendi watoto wao, hawaelewi.

Huwa nikikaa nikifuatilia mambo yanayotokea nahisi mzee wangu hakutaka niwe na nafasi fulani, Mungu alivyo fundi sasa kati ya watoto wake wote mimi ndio nina kiajira japo uchwara.
 
Sijapata nafasi ya kua karibu na ndugu kiasi Cha kusema wafanye lini-impact directly!
 
5 yrs ya kuishi nae kama mtoto
Akanipiga hela yangu niliyowekeza kwenye biashara niliyom connect nayo
Hela niliyojinyima nika save lakini nikaambulia patupu.
Anavyoteseka na maisha namwombea asimame labda atanilipa hata nusu.

Hili lingine ni la best friend niliyemuamini mno nikajua nimepata ndugu[emoji1487]
Bado kidonda ni kibichi kabisa sijui nita act vipi nikionana nae.

NB
Ulikuja mwenyewe duniani na utaondoka mwenyewe..ukiweza kuishi kivyakovyako ni heri. Chuja sana unayoshea na the so called friends....Fake friends wako wengi mno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…