Ni Kisa/ kituko gani uliwahi kufanyiwa na Dada wa kazi?

Kuna mmoja nilikuwa nae, jioni narudi nikamkuta kafunga mtaa anamwaga matusi yale mambostikiπŸ˜€ na mabint flani mcharuko wa kitaa, wife alikuwa mjamzito amejitahidi kumuonya ameshindwa, nilovyomuona nikajua huyu binti hayupo sawa!, kesho nikampigia mamake akambia ana tatizo la akili lakini halitokei mara kwa mara...chap nikamndisha Abood kwenda kwao Moro.
 
Heee Jamani kwa nini walikuletea sasa?
 
Yote tisa,kumi ni kuacha watoto wadogo wenyewe,inasisimua kwakweli
 
Majirani wanafiki wakubwa,
 
Watu wengi tu hasa wanawake hawapendi wageni, ni tabia ya uroho ulafi na uchoyo ninae ndg wa karibu yupo hivyo hivyo, huwa namshangaa anakuwa mchoyo kwa vitu vya kwangu.......... ajabu sana
 
Dah,pole kazi unayo.Yaani kumpata mdada mzuri ni mtihani.
 
Watu wengi tu hasa wanawake hawapendi wageni, ni tabia ya uroho ulafi na uchoyo ninae ndg wa karibu yupo hivyo hivyo, huwa namshangaa anakuwa mchoyo kwa vitu vya kwangu..........

Watu wengi tu hasa wanawake hawapendi wageni, ni tabia ya uroho ulafi na uchoyo ninae ndg wa karibu yupo hivyo hivyo, huwa namshangaa anakuwa mchoyo kwa vitu vya kwangu.......... ajabu sana
Mimi binafsi ningekuwa hivo kwamba sipendi wageni nyumbani kwangu Nadhani ningeumwa ugonjwa wa moyo maana kwangu ninao ni kama wageni wa kudumu na wapitaji wa muda mfupi na haipiti miezi mitatu sijapata wageni na nilishajiandaa kisaikolojia kwa hilo na wengi wao ni ndugu wa mume..nachoshukuru wengi wao ni wanaume so hawana magubu kama wanawake ..wapo waliojipanga na wameanza maisha yao na wapo wanaojitafuta tena wengine wakiwa na wake zao naishi nao hatujawah kugombana na huwa nawaandaa wadada wa kazi pia wasione ajabu kuona wageni kwangu hawaishi.
Wapo baadhi wanakwaza wadada hasa wale wanaokuja na wake zao mtu analala zaidi ya siku nne na mumewe siku akiondoka hafui shuka hasafishi chumba wala choo walichokuwa wanatumia so wadada wanakwazika kwa hilo ila utafanyaje kwa case km hizo inabidi tu awajibike kishingo upande ni sehemu ya kazi yake japo sio ustaarabu maana wahakulala loji .
 
Au kazi zinakuwa nyingi?
Akiongezeka mgeni hata mmoja ujue na kazi pia zinaongezeka ..hasa ukute mgeni mwingine hajigusi kwa kazi yoyote kusaidia yeye anachojua kutumia tu kuosha haimuhusu,hafui hata mashuka yake hasafishi anapolala, kama wa kiume hata kusafisha mazingira ya nyumbani,kuhudumia mifugo hawezi so dada analemewa na mgeni hana msaada kwake so anamchukia na kuchukia kazi . Sio siri kuna baadhi yao wanakwaza sana hasa wasiojielewa na wasio na value yyte katika familia..raha ya mgeni aondoke mummis bwana kwa msaada wake wa hali sio lazima atoe mali
 
Ndio kabisa, umeongea vema sana
 
Sio vizuri kununa kisa wageni wamekuja hawaji kula kumaliza usimtetee huyo afisa
 
Majirani waliokuwa nyumbani muda huo ni wasichana wenzake wa kazi sababu wenye nyumba nao walikuwa kazini. Sasa huwezi jua hata kama aliwaambia ukweli au vipi tuliamua kuachilia mbali tu
Ndio maana nasema kila mara mke hatakiwi kufanya kazi
Majukumu ya mke ni;
(1) Kuzaa watoto
(2) Kutunza familia (baba na watoto)
(3) Kutunza nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…