Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mimi kazi nisiyoipenda ni kuosha vyombo.Napenda sana kupika,,ni kazi amba hata nikiifanya kwanzia asubuhi mpka kesho yake asubuhi sichoki kabisa..lakini hizo kazi nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]bwana atete nami:.ila ndo hivyo tema hakuna namna
Mungu akujaalie huo uwezo soon nakuja kuomba msaada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SidhaniKila kitu kina wakati wake hiyo hali utakuja kuisha tu
[emoji85][emoji86][emoji86][emoji1436][emoji1436][emoji1436]Haki comment yako imenichekesha BAK
[emoji28][emoji28][emoji28]eheee naiacha wazi ipigwe kipupwe ili ile style ya mguu begani ikutane na harufu ya asili[emoji85][emoji85]
LabdaSikushangai mtakatifu ila nafikiri ni kwa sababu kuna maisha mengine ya kazi na mengine bado hujajichanganya nayo..pengine
Amen brother [emoji122][emoji122]Kwa imani napokea, vyote tulivyo navyo, vinatoka kwake. Kuwasaidia wengine ni kama kutoa sehem ya tulichopewa.
Mwisho wa siku tutaondoka bila kitu, tutaacha kila kitu hapa hapa.
Akichelewa wala asikupotezee muda.Niko porin na kila kitu kama unavyo prefer 🙄Sasa tafuta hela sasa ukajenge huko na uweke kila kitu
Amen brother [emoji122][emoji122]
Jiandae nakuja soon
HahahaAkichelewa wala asikupotezee muda.Niko porin na kila kitu kama unavyo prefer [emoji849]
Usije kujaribu kabisa. Ni uraibu mbaya kuliko yoteSawa mkuu nitakuja unifundishe mikeka..sijawahi na sijuagi kucheza loh!!
[emoji23]Sipendi kupigiwa pigiwa simu aisee ni vile maisha hayawez kwenda bila hii kitu.
Usikawie sasa.Ni ndani kwa ndan full ma babaQ kama unavyopendaga 🤗Hahaha
Sawa boss
Akhsantee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usikawie sasa.Ni ndani kwa ndan full ma babaQ kama unavyopendaga [emoji847]
Yani inakuwa vigumu ndio maana huwa siamini kama kuna sehemu naweza ajiriwa. Hivyo najipanga kabisa kwani najua nina asili kama ya ukosoaji na ubishi. Siasa hizo nazikwepa.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Aiseh mkuu umetisha kuna vitu unavyo na huwa haviepukiki kwa mtu aliyebarikiwa navyo..
Kwa mfano kutoa dukuduku[emoji28][emoji28]
@Chakorii, again[emoji28][emoji28]Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...[emoji3344][emoji3344]
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..[emoji28][emoji28]tujifurahishe tu hakuna namna[emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Huo ulikuwa ni utangulizi tu [emoji28][emoji28]ngoja nirudi kwenye uzi sasa[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi[emoji85]kuvua na kuvaa nguo[emoji1787][emoji1787]ila nakuwa Sina namna..
Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda[emoji28][emoji28][emoji28]...
Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna[emoji16][emoji16]
Karibuni wapendwa [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]