Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mimi kazi nisiyoipenda ni kuosha vyombo.Napenda sana kupika,,ni kazi amba hata nikiifanya kwanzia asubuhi mpka kesho yake asubuhi sichoki kabisa..lakini hizo kazi nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]bwana atete nami:.ila ndo hivyo tema hakuna namna
Jamani jamani yaani huwa nafanya basi tu kwa vile hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hizi zingine Kama kufua,kupiga deki na kazi nyingine zote, yaani Hata ungeniwekea nguo kabati zima nitafua