Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Napenda sana kupika,,ni kazi amba hata nikiifanya kwanzia asubuhi mpka kesho yake asubuhi sichoki kabisa..lakini hizo kazi nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]bwana atete nami:.ila ndo hivyo tema hakuna namna
Mimi kazi nisiyoipenda ni kuosha vyombo.
Jamani jamani yaani huwa nafanya basi tu kwa vile hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila hizi zingine Kama kufua,kupiga deki na kazi nyingine zote, yaani Hata ungeniwekea nguo kabati zima nitafua
 
Haki comment yako imenichekesha BAK
[emoji28][emoji28][emoji28]eheee naiacha wazi ipigwe kipupwe ili ile style ya mguu begani ikutane na harufu ya asili[emoji85][emoji85]
[emoji85][emoji86][emoji86][emoji1436][emoji1436][emoji1436]
 
Sikushangai mtakatifu ila nafikiri ni kwa sababu kuna maisha mengine ya kazi na mengine bado hujajichanganya nayo..pengine
Labda
Shule tu nilikuwa napata tabu maisha ya kujichanganya na watu.
Kuna mwaka nilipangwa rum mwenyewe,nikakaa Kama mwezi hivi.
Watu walikuwa wanakuja wanashangaa wananiambia nihame wakati mwenzao nilikuwa nimefurahi tu na nakaa comfortable bila kelele.
Ulipita mwezi nikaja kuongezewa mtu tukawa wawili.
 
Sipendi kabisa mtu mwingine ajisikie vibaya kwa sababu yangu Mimi[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Sipendi kabisa kuongea na simu ninapendelea kuchat kuliko kuongea

Halafu nadhani Niki chat nakuwaga active,smart and funny kuliko ninapoongea
 
Sipendi kuishi, ila naishi tu kwasababu siwezi kujiua .
Sipendi kazi ninayofanya, ila nafanya tu kwasababu inatake care mambo yangu.
Sipendi kuishi bila mke, ila naishi tu kwasababu wanawake nao ndo ivo tena.
Sipendi umri nilionao, ila ndoivo tena siwezi kuurefusha/kujizeesha.
Sipendi kula ila ndo ivo sina kinga ya njaa.

Nikimaliza kula ntaendelea kuandika.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Aiseh mkuu umetisha kuna vitu unavyo na huwa haviepukiki kwa mtu aliyebarikiwa navyo..
Kwa mfano kutoa dukuduku[emoji28][emoji28]
Yani inakuwa vigumu ndio maana huwa siamini kama kuna sehemu naweza ajiriwa. Hivyo najipanga kabisa kwani najua nina asili kama ya ukosoaji na ubishi. Siasa hizo nazikwepa.
 
Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...[emoji3344][emoji3344]
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..[emoji28][emoji28]tujifurahishe tu hakuna namna[emoji1635][emoji1635][emoji1635]

Huo ulikuwa ni utangulizi tu [emoji28][emoji28]ngoja nirudi kwenye uzi sasa[emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi[emoji85]kuvua na kuvaa nguo[emoji1787][emoji1787]ila nakuwa Sina namna..
Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda[emoji28][emoji28][emoji28]...

Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna[emoji16][emoji16]

Karibuni wapendwa [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
@Chakorii, again[emoji28][emoji28]

Hapo kwenye kuvaa kyupi tupo wengi, mimi sipendi naona tu kama iniwekea uzio, nikiwa nyumbani sivai kabisaaa labda niwe natoka au siku niamke na mood ya kuvaa

Sipendi pia kuosha vyombo na kupasi surali za Mr, yani naona kama ni kazi inayonifanya nijiskie naonewa sema tu sina jinsi inabidi nifanye

Sipendi pia kutoka au kuzurura kama Saint Anne, tena kama nipo likizo naweza kukaa ndani tu hata nje ya geti sitoki kama mwali
 
Back
Top Bottom