zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Pray for me also [emoji23][emoji847]May the blessings of God flows upon you all the days of your life in Jesus name
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pray for me also [emoji23][emoji847]May the blessings of God flows upon you all the days of your life in Jesus name
Amen, Saint, i receive in Jesus name, the name above all names [emoji1545]May the blessings of God flow upon you all the days of your life and let it be so in Jesus name
KabisaUnaweza tafuta kazi zinazoendana na personality yako ukaendelea kuenjoy maisha....
mfano:virtual assistant,ethical hacking,full stack developer na greenhouse and vertical farming unazalisha mbogamboga mchicha,chinese etc na maisha yanaenda 🙂
Ungeniambia nikutumie piemu ningefanya hivyo fasta😅😅lakini umesema nikiweka kwenye lile jukwaa pendwa😜😜endelea kusubiri mkuu kuwa tagged sawa eeNaam mkuu, cheers! sasa wacha nijichagulie hiyo offer kabisa!
Ni hivi, siku uki post picha yako kule jukwaani pendwa pa ku'selfika' basi uni tag kabla hujaifuta, please 😉
Ungeniambia nikutumie piemu ningefanya hivyo fasta😅😅lakini umesema nikiweka kwenye lile jukwaa pendwa😜😜endelea kusubiri mkuu kuwa tagged sawa ee
DuuhKufua shuka
Kuoga
Kuosha vyombo
Kufua soksi
Kutandika kitanda
Kumsikiliza MTU akiongea
Kusalimia
Kunawa mikono kabla ya kula
Una mguu mzuri balaaUngeniambia nikutumie piemu ningefanya hivyo fasta[emoji28][emoji28]lakini umesema nikiweka kwenye lile jukwaa pendwa[emoji12][emoji12]endelea kusubiri mkuu kuwa tagged sawa ee
MimiHabari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...🧚♀️🧚♀️
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..😅😅tujifurahishe tu hakuna namna🥂🥂🥂
Huo ulikuwa ni utangulizi tu 😅😅ngoja nirudi kwenye uzi sasa🤪🤪🤪
Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi🙈kuvua na kuvaa nguo🤣🤣ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda😅😅😅.
Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna😁😁
Karibuni wapendwa 🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂🥂
Mimi sio mtukanaji wala sinaga maneno machafu ilaa sentesi ACHA USENGE imenikaa sana japo baada ya kutamka uwa najutia..Yaan mtu hata akifanya hata kitu kidogo tuu nisichokipenda lazma nimwambie ACHA USENGE sijui nimekalili lini hii sentensi.Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...🧚♀️🧚♀️
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..😅😅tujifurahishe tu hakuna namna🥂🥂🥂
Huo ulikuwa ni utangulizi tu 😅😅ngoja nirudi kwenye uzi sasa🤪🤪🤪
Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi🙈kuvua na kuvaa nguo🤣🤣ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda😅😅😅.
Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna😁😁
Karibuni wapendwa 🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂🥂
Maneno yako yametimia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda kwa kuwa unaishi mkoani mama:..siku ukihamia dar hiyo kauli hutoisema labda uwe na usafiri wako
Yaani nasimama kwenye gari kila siku tena route ndefu, mbezi hadi kivukoni😁
Mkuu embu nipe baraka zako nimuhamishie hapa HQ ya East Africa aachane na adha za daslama 😉
Atakipata wapi? 🤔Yaani nasimama kwenye gari kila siku tena route ndefu, mbezi hadi kivukoni😁
Imefika muda najua hadi angle nzuri za kusimama🤣🤣🤣🤣hakuna angle siijui kwenye mwendokasi.
Nahisi nimewahi kukaa mara 2 tu🙌🙌🙌
This life ahhh😂🤲
Hapa penyewe naenda kusimama🙌🙌🙌
.........
Kumbe kuna mtu ananicheka!
Anachokitafuta atakipata🤣🤣🤣