Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Unaweza tafuta kazi zinazoendana na personality yako ukaendelea kuenjoy maisha....
mfano:virtual assistant,ethical hacking,full stack developer na greenhouse and vertical farming unazalisha mbogamboga mchicha,chinese etc na maisha yanaenda 🙂
Kabisa
 
Naam mkuu, cheers! sasa wacha nijichagulie hiyo offer kabisa!

Ni hivi, siku uki post picha yako kule jukwaani pendwa pa ku'selfika' basi uni tag kabla hujaifuta, please 😉
Ungeniambia nikutumie piemu ningefanya hivyo fasta😅😅lakini umesema nikiweka kwenye lile jukwaa pendwa😜😜endelea kusubiri mkuu kuwa tagged sawa ee
 
Ungeniambia nikutumie piemu ningefanya hivyo fasta😅😅lakini umesema nikiweka kwenye lile jukwaa pendwa😜😜endelea kusubiri mkuu kuwa tagged sawa ee
Ulimi mkono hauna mfupa Chakorii, niliteleza tu ila nilimaanisha unitumie kwa prime minister 😂 😂
 
Kufua shuka

Kuoga

Kuosha vyombo

Kufua soksi

Kutandika kitanda

Kumsikiliza MTU akiongea

Kusalimia

Kunawa mikono kabla ya kula
 
Nachukia sana kumuumiza mwanake yeyote.
Nachukia kushindwa kumsaidia mwenye shida aliyenijia, huwa inaniuma kutompa hitaji lake
 
Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...🧚‍♀️🧚‍♀️
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..😅😅tujifurahishe tu hakuna namna🥂🥂🥂

Huo ulikuwa ni utangulizi tu 😅😅ngoja nirudi kwenye uzi sasa🤪🤪🤪

Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi🙈kuvua na kuvaa nguo🤣🤣ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda😅😅😅.

Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna😁😁

Karibuni wapendwa 🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂
Mimi

Mimi sio mtukanaji wala sinaga maneno machafu ilaa sentesi ACHA USENGE imenikaa sana japo baada ya kutamka uwa najutia..Yaan mtu hata akifanya hata kitu kidogo tuu nisichokipenda lazma nimwambie ACHA USENGE sijui nimekalili lini hii sentensi.
Kingine napenda sana kula vzuri sasa napata tabu nnapoamua kujinunulia vinyama vyangu alafu naishi kwenye family Yaan
Kingine sikisemi mtanishangaa sana
 
Nimemuona Pep anakucheka Kwa sauti

Na hivi cha mdeko 🤣🤣Soma namba Kwa sauti ngapi hiyoooo
Yaani nasimama kwenye gari kila siku tena route ndefu, mbezi hadi kivukoni😁
Imefika muda najua hadi angle nzuri za kusimama🤣🤣🤣🤣hakuna angle siijui kwenye mwendokasi.
Nahisi nimewahi kukaa mara 2 tu🙌🙌🙌
This life ahhh😂🤲
Hapa penyewe naenda kusimama🙌🙌🙌

.........
Kumbe kuna mtu ananicheka!
Anachokitafuta atakipata🤣🤣🤣
 
Atakipata wapi? 🤔
 
Back
Top Bottom