Ni kitu gani huwafanya wanawake wengi walio katika ndoa kuendeleza mahusiano na ma-ex wao?

Ah wapi.

Piga saizi yako sisi wanawake ukituendekeza utakojoa damu *****.

Kei sio ya kushindana nayo utaifanya nyekundu na kesho itadunda kama kawaida na kupigika kama kawaida.
I thought you're a man... kumbe mmiliki halali wa shimo utelezi
 
Inategemea hata Wanaume ambao hawafuti namba za ma-ex zao wapo wengi tu.
Siwezi kufuta namba ya ex eti sababu tumeachana. Sihitaji chochote kwake na hata kama kaniumiza ila haimaanishi ndio I won't be talking to her forever.

Imagine you're in your 20's to mid 30's na unaapa kutokuongea na mtu for the rest of your life kisa tu ni ex wako πŸ€”


Nimefuta namba za wanawake wanaosumbua kichwa nyingi sana. Ila sio za ex
 
Ah wapi.

Piga saizi yako sisi wanawake ukituendekeza utakojoa damu *****.

Kei sio ya kushindana nayo utaifanya nyekundu na kesho itadunda kama kawaida na kupigika kama kawaida.

Kushindana na kei hakutatusaidia lolote...

Mkuu twende zetu nyegezi tukale maisha.
 
kutokueleewa maana ya ndoa
 
Kushindana na kei hakutatusaidia lolote...

Mkuu twende zetu nyegezi tukale maisha.
Wewe nilikuambia nikutongoze ukaogopa.

Sasa huko tutaendaje?

Afu hiyo mkuu veepee hujui kubebika?

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈ
 
Mshaambiwa mtuoe tulio bikra hamsikii, haya sasa endeleeni kuteseka.
 
Kweli kipenzi. Yani bora nikampe mtu aliyenitongoza siku hiyo hiyo kuliko kumpa ex uchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi kabisaa yaan kipenziii.
 
Wewe nilikuambia nikutongoze ukaogopa.

Sasa huko tutaendaje?

Afu hiyo mkuu veepee hujui kubebika?

Tutaenda tu kama kawaida na AirTanzania...

Sasa Karucee kwenda nyegezi na kutongozana kunahusiana vipi hapa??

Kubebika kama hakutafanikisha safari hakutanisaidia lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…