Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Huyu ni Mimi kabisaaa..... Japo miaka michache nyuma ndinga yangu nilikuwa naipendea usafi , ilikuwa inaoshwa dail.

Baada ya kuwa na watoto na ubusy wa maisha na kubeba vifaa vya kazi nimekuwa I don't give a shit
Aisee
 
Memba wa Mbeya. Landlover ya njano. Ghorofa la njano. Umenikumbusha mbali sana, nimekaa Jakaranda karibu na RTD, S/Msingi nikapiga Azimio kwa Mwl Msomba
Umekaa jirani na kina Janeth Swebe na Lina Mwantobe. Msomba haha haha haha Long time sana.
 
Sipendi kuweka tinted kwenye taa na kioo cha mbele
 
Kupakia watu njiani hasa safari za usiku kwenda mikoani... nisije kupakia jambawazi linikabe kabali bure.. Mimi huwa peke yangu niki enjoy nyimbo za kitambo kama za Oliver Ngoma na kina Franco.
 
Kupakia watu njiani hasa safari za usiku kwenda mikoani...nisje kupakia jambawazi linikabe kabali bure..mimi huwa peke angu niki enjoy nyimbo za kitambo kama za oliver ngoma na kina franco
Wewe ni mimi kabisa.. nafanya long drive meditation na mziki wa kitambo.. nnavyoangalia terrains hasa kama ni weather ni cloudy akili inaconnect kwenye ulimwengu mwingine kabisa.
 
Ngoja nijaribu mpaka nikioa nitaacha
 
-Siwezi kuosha gari kila siku.

-Car kits marufuku.

-After market parts ndani ya Gari Ni marufuku hata mziki sibadilishaji,siwezi kuitoa MARK LEVINSON halafu nikaweka uchafu wenye makelele kwny Gari yangu.
 
Kuna Central Visitors moja ilikuwa nyuma ya stendi ya mjini (Mbeya Bus Terminal) ni ya zamani sana ile, ndo hiyo mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…