Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

1. Siwezi kuweka urembo/chata
2. Siwezi kuligeuzi lodge kamwe
 
Usisahau kuwa gari ni lodge pia.
 
Mimi hutamani kufanya mabadiliko ndani na nje kuweka urembo mbalimbali na visticker kidogo lakini hujikuta nakosa muda na pesa ya kufanya hayo yote mpaka gari inaanza kuchakaa sijafanya chochote.
 

Siwezi kuweka seatcover, na kuongeza vikorokoro

I like genuinely
 
Hongera zenu, natumaini hiyo gari unaipa thamani fulani hivi kama bado unayo. 'Bado unamuangalia tu' Kwa muda gani sasa?
 
1. Siwezi kuweka zile taa zenye mwanga mweupe mkali, zinaumiza sana macho ya watu. Malimbukeni ndo huwa wanaweka taa hizo plus vitaa vinavyowakawaka hovyo.

2. Kupaka rangi kwenye rim kwa ndani, ni utoto wa hali ya juu.

3. Taa za break zinazokonyeza. Hawa wanakweka ni wale ambao hawaba medula oblangata, wajinga na hawana akili kabisa. Utoto tu
 
Mi napenda seats za abiria zote nitoe niweke mabench.

Napenda nisiweke mafuta kabisa siku nikija kupata gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…