Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

Memba wa Mbeya. Landlover ya njano. Ghorofa la njano. Umenikumbusha mbali sana, nimekaa Jakaranda karibu na RTD, S/Msingi nikapiga Azimio kwa Mwl Msomba
Sori mkuu me wa MBY pia old forest ila nimemalizia primary Mbata na ticha mkuu Msomba, vipi ni hiyo huyo?
 
Hivi mbona hamjazungumzia kuhusu kujamba kwenye gari?! Mnajifanya wastaarabu sana etiee👀 yaani kama vile umefunga vioo halafu uchaachia kitu ambacho ni final product ya mayai ya kuchemsha, kiporo cha mandondo na pepsi baridi, halafu hamadi unakutana na mkweo anaomba lift wakati bado kaflavour kandaranda randa ndani ya gari! Iliitokea hii halafu traffic kasimamisha gari kusogea mlangoni mbona mwenyewe alinirugusu bila kukaguaaaaaa
 
Halafu ukishajamba tu lazima atokee mtu unayemjua akusimamishe akuombe lift 😄 unabaki kusema tu nafika mbele tu hapo na yeye anakuambia nsogeze tu hamna shida.
 
Kuandikaandika maneno.Mara..."WERAWERAAA,ASUSA ABANGA,MURETE MUZUNGUUUUU,MUZUNGU KAOMBA POOOOOH,KICHOCHI KAA CHONJO,BABA YAKO ANAYO?,SIZITAKI ZIMEIVA SANA,MWENDO MDUNDO,MBELE MBELE YAO,PAPAA MOBIMBA,INAMA UPATE,ANGWISA,NDOHO GOGOLO"..!Vurumai tupu!
 
We kiboko😄
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Watchout Bro, kuna nyakati asipokuona au ukichelewa kufika nyumbani anaweza akawa anakufikiria kwamba ulikuwa KUNYANDUA MBUSUSU ya mwingine kwenye gari (truth related joke Bro) kama ulivyowahi kumnyandua yeye.
 
Watchout Bro, kuna nyakati asipokuona au ukichelewa kufika nyumbani anaweza akawa anakufikiria kwamba ulikuwa KUNYANDUA MBUSUSU ya mwingine kwenye gari (truth related joke Bro) kama ulivyowahi kumnyandua yeye.
I know. That's why tunapitiana, najua hawa wenzetu wana insecurity problem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…