Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Napoleone nasikia kwel kawa ustadhi bhana.,black Jesus bonge moja la pini aisee.husein fatal sikujua kama kafariki kabisa..kuna ngoma yupo husein fatal,Pac na mume wa Reym ma(papoose).aisee majamaaa naona kama wamemfunika kabisa Pac mle,,ngoma inaitwa Dumpin.au unaonaje?
 
Dear mama wanasikiliza wasiojua hiphop tu,kwa mimi huo wimbo siupendi maana unajulikana na kila mtu,kuna ngoma kali sana zenye ujumbe wa mama ila hazijawa maarufu kama huo
 
Service ya kifanyio
 
Hawa watoto wajuzi hawawezi kuelewa old school
[emoji12] [emoji12] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hivi ni vizazi vya kina drake,diamond,sijui dogo janja,na ndio maana ni washamba wanaleta uteam kwenye muziki
 
Siwezi kulala bila ya kusafisha mwili, kuoga, kupiga mswaki na kunywa maji ya kutosha.
Siwezi kusafiri bila ya simu, laptop,bussiness card, power bank
 
Kabla ya kulala ni LAZIMA nimshukuru Mungu na kujikabidhi kwake kwa ulinzi wa usiku kucha; Niamkapo asubuhi huwa ni LAZIMA nimshukuru tena Mungu kisha niikabidhi siku kwake. Niwapo safarini huwa sisahau kuwa na Kitabu Kitakatifu cha Mungu - yaani BIBLIA. huku nikiendelea kuisoma na kuutafakari ukuu wa Mungu.
 
Hahaha... Ile ngoma ilichukuliwa verse ya Pac ya kitambo halafu papoose na Fatal wakaingiza verse zao ... Ipo kwenye album kama sijakosea Pac's life. Nakubali jamaa wametililika.... Na Fatal alipata ajali mbaya sana zilizikwa nyama tu.
Angalia hizo picha gari ilivyo haribika vibaya ila cha kushangaza demu wake alitoka mzima maana ndio alikua dereva.
 
Eee bhana eee ajali mbaya sana hiyo,hawa majamaaa mbona vifo vyao ni vya ajabu ajabu tu?
 
Destiny bro na life style... Ila kwenye kifo cha Fatal demu wake kafunguliwa kesi ya homicide.
Aisee,asante sana mkuu hakika umeifanya siku yangu kuwa nzuri,maana nimekutana na mtu anaejua mambo ninayoyajua,yaani kama vile producer Duke touches anapokuwa na akina One,Stereo,Songa ,Mbishi.utafurahi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…