Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Drama queen ndo huyo sasa
 
Hii ni case ya pili nakutana nayo humu JF kuhusu mwanamke kumis mshikaji wake na kumshinikiza aende alipo mwanaume akishafika demu hana time nae
 
1. Wewe na hayo mampira yako nmechoka kama umelogwa, sasa chagua moja mimi au mpira. Nikachagua mpira wangu ambao nipo nao hadi leo.

2. Unamtumia mama yako hela yanini si unipe, mama yako na mimi nani wamuhimu sana kwako? Hapo nimetoka kupitia msoto mkali sana, mama mgonjwa na hiyo hela niliuza pc yangu na lengo nilimwambia. Sikumjibu alivyoondoka nikampunguza jumla.
 
[emoji23]
 
Alinipa taarifa kuwa anasafiri kumbe yupo ila hataki kuonana na mimi na ilikua ni kawaida yake badae ndio nilikuja jua. Kuna mtu akawa kamuona mjini akanipa taarifa asijue kuwa kamchomea na alivyo mwehu kipindi anadai kasafiri alianza kumfuatilia rafiki yangu asijue rafiki yangu anaelewa kila kitu, tukapanga siku akubali waonane na mimi nikawaibukia na mapenzi yakafa siku hiyo hiyo.
 
Red flag moja na hapo hapo akapokea thank you....! Alikuwa hapiki japo kila kitu kipo ndani, ikifika mida ya msosi atakuomba umpigie boda wako umuagize chakula. Nikaona huyu ni mwanaume mwenzangu tu. Nikampiga kibuti
 
Money money money....umenisababisha nikutoroke. 🤣🤣🤣🤣
Viumbe hawa utu kabisa. Mtu una majanga yeye halioni hilo anawaza yale tuu...so selfish.
 
Red flag moja na hapo hapo akapokea thank you....! Alikuwa hapiki japo kila kitu kipo ndani, ikifika mida ya msosi atakuomba umpigie boda wako umuagize chakula. Nikaona huyu ni mwanaume mwenzangu tu. Nikampiga kibuti
🤣🤣🤣🤣 Ah kwa hiyo ukapiga chini kisa kupika...mwanawane sii mama ntilie wapo wengi tuu unakula huko alafu unakuja kula mbususu
 
Ndio wanaume wenye common sense ufimiri hivyo.
Hawa vijana husumbuliwa na wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…