Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Akauze za kwao, kwani hawana asssets? πŸ˜…
Zako zimaliziwe mbona wezi hukuwafanya kitu?? Hapo mgonjwa apone, assets zitanuniliwa baada ya hali ya mgonjwa kutengamaa 🀣🀣🀣
 
Ndio tulivyo mkuu! Kama wachawi tu πŸ˜‚πŸ˜‚

Penda hiyo manzi harder.
 
Kuna story nikizisikia najiulizaga is this we? Is we this? My gender, tunatumikaga na shetani sana jamani, acheni tuoge mafuta kawe...kiruuu😞😞😞
 
As man at times unatamani hata mara moja moja upikiwe na baby, kufua hajawahi in two years time. Kwangu ilikuwa sawa but chakula it was a red flag...! It didn't sit well with me.
Mimi ntaachwa sana kwa hizi sababu....

Nina mwaka 10 almost sifui.... au generally nikijumlisha siku zote nilizofua maishani hazifiki siku 365.

Hiki si kitu cha kumuacha mtu bana.
 
Wanawake tulee watoto vizuri, we can do better. Kuna vitu ni inhumane.....
Kabisa..highest degree of selfishness. Cha kushangaza: tumejaa makanisani na misikitini, madai ya uchaji. Uchaji which, where, when, how??? hata vitabu vya dini vimekataza....though waliotufundisha haya ni wanaume ila mwisho wa siku KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MWENYEWE!!!!
 
Katika pitapita zangu za stories za breakups na migogoro ya mapenzi sjawahi kukutana na case kama ile wallah!πŸ™Œ
Shida unatuacha njia panda 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…