Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Kataa mahusiano ya kipumbavu🔥🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakwel kwa wenye njaa njaa (tena hasa vile vi njaa vidogo dofo vya kijinga jinga) wayaache tu 😂.mapenzi ni ya watu walioshiba 😂😂
me ngoja nikatulize fuvu kwanza
Ungempa condition, kwamba ili umsamehe, waje na dada yake wote uwapige show pamoja.Nimewahi muacha demu wangu nilimpenda sana kisa utoto wake. Alimwambia dada yake aniambie Mimi sio shemeji yake bali ana shemeji mwingine anayejulikana sio Mimi nia anirushe roho. Kumbe kalikuwa kanatikisa kiberiti. Nilivyoambiwa tu hayo maneno na dada yake nilifunga vioo malizima japo alilia na kuniomba msamaha sana yeye pamoja na dada mtu, sikuweza badili msimamo wangu. Nilimove on nikaoa saivi Nina familia yenye amani, yeye aliolewa akaachika saivi anapuyanga na maisha tu
Kwanza ukute ndio yeye alivunja maskan mwamba akiwa safar!Mngeuza vilivyobaki ili apate pesa ya kumtibu mgonjwa.! Au ungekopa.
Inawezekana hiiKwanza ukute ndio yeye alivunja maskan mwamba akiwa safar!
Ya kwake yeye ndio hatak sasa hiyo machine.. unanunulia vitu vya thaman wanawake wenye akili wanaojua maisha ni nini, ukio sota nao toka 0, sio hiz mbuzi za siku hiz chuma uleteHiyo ni familia ya baba yake
Na wewe unaenda kutengeneza familia yako na yeye
Bora ninyamaze nisije kuongea ukanipa laana bure..!🤸Ya kwake yeye ndio hatak sasa hiyo machine.. unanunulia vitu vya thaman wanawake wenye akili wanaojua maisha ni nini, ukio sota nao toka 0, sio hiz mbuzi za siku hiz chuma ulete
Mwambie akaonje za baba ake, likichaa hiloHiyo avatar ndio wewe?
Nyie watoto wa siku hiz kwan mnalaanika?Bora ninyamaze nisije kuongea ukanipa laana bure..!🤸
'Nyie watoto wa siku hizi' mbona unanijumlisha? Wakati mimi ni mkubwa mwenzakoNyie watoto wa siku hiz kwan mnalaanika?
Kila cha kuwalaan mnakijua!!
Wewe haupo, japo sio mkubwa mwenzangu 😅'Nyie watoto wa siku hizi' mbona unanijumlisha? Wakati mimi ni mkubwa mwenzako
Basi ulikua humpendi
Hivi unajisikiaje kutumia ID ya kike hali ya kuwa wewe ni dume?Nyie bila mimi ham trend enhee?? Halafu koma kuniita jina la id ya mtu mwingine
😂😂😂 Sasa mgonjwa afe wakati asset za kuuza nyingine wezi wamebakishaShenzi wewe 😅😅😅😅
Tulia wewe, kwahiyo ulitaka mgonjwa afe? 😂😂😂U r soo evillll