Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Nimewahi muacha demu wangu nilimpenda sana kisa utoto wake. Alimwambia dada yake aniambie Mimi sio shemeji yake bali ana shemeji mwingine anayejulikana sio Mimi nia anirushe roho. Kumbe kalikuwa kanatikisa kiberiti. Nilivyoambiwa tu hayo maneno na dada yake nilifunga vioo malizima japo alilia na kuniomba msamaha sana yeye pamoja na dada mtu, sikuweza badili msimamo wangu. Nilimove on nikaoa saivi Nina familia yenye amani, yeye aliolewa akaachika saivi anapuyanga na maisha tu
 
mapenzi ni ya watu walioshiba 😂😂

me ngoja nikatulize fuvu kwanza
Kwakwel kwa wenye njaa njaa (tena hasa vile vi njaa vidogo dofo vya kijinga jinga) wayaache tu 😂.

Ndio mwisho wa siku mambo ya kumwagana ubongo
 
Nimewahi muacha demu wangu nilimpenda sana kisa utoto wake. Alimwambia dada yake aniambie Mimi sio shemeji yake bali ana shemeji mwingine anayejulikana sio Mimi nia anirushe roho. Kumbe kalikuwa kanatikisa kiberiti. Nilivyoambiwa tu hayo maneno na dada yake nilifunga vioo malizima japo alilia na kuniomba msamaha sana yeye pamoja na dada mtu, sikuweza badili msimamo wangu. Nilimove on nikaoa saivi Nina familia yenye amani, yeye aliolewa akaachika saivi anapuyanga na maisha tu
Ungempa condition, kwamba ili umsamehe, waje na dada yake wote uwapige show pamoja.
 
Back
Top Bottom