Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

Ivi ni kwel wanawake wenye dread wanapiga sana vizinga? Nliwah kuwa na demu anadread... aisee zile nywele zinahtaj matunzo kwaiyo vizinga vya kila week 2 nlikuw navitarajia
 
Sasa wewe hii si kuumwa kikohozi jamani!!! Bado utakatwa stimu na chafya Sasa au hata kupumua loh
Unapougua kikohoz inabid ukiwah kwa dawa ili usifikie hatua ya kukohoa kwa kubanja
 
Ila umeongea vizuri Sana..tatizo focus inakuwaga pochi na sio penzi
 
Aisee ata kama unatak ule na kusepa...unaangalia unakula wapi.Mm binafsi swez fanya na mwanamke sjamkubali. Naona nmejipunguzia point maana ntakuw nmekubali kuna ukame wakat wanawake n wengi kuliko sisi wanaume!
[emoji28][emoji28]kaka hata maji machafu yanazima motoo
 
Insecurities
Mkuu utakosa nafasi hivi hivii
Get over it still ni mwanamke you can have her.
 
Mmhh sidhani kama kuna Mwanamke anaweza kumkubali me asiye na kitu. Halafu awe pia sura yake ni tia maji tia maji
Hapo unafeli kijana, warembo wengi tu wanaolewa na watu wa kawaida mnp mbona, acha wale wanaoliwa na watu wa hovyo hovyo sasa.
 
Kitu cha kwanza kunikata sitimu nisitishe ni harufu. Napo kutana na mwanamke mara ya kwanza uwa natafuta harufu yake asilia, hata awe amepuliza pafyumu, pua zangu hunusa na kung'amua harufu yake. Nikikuta si nzuri hanioni tena. usafi ni muhimu si lazima ajipodoe, awe natural!
 
Asanteni kwa uwakilishi mzuri kwa niaba ya Men wengine thanks. Mimi kwa ziada najali Sana utu na ukarimu maana jeuri Maringo na dharau hapana, muonekano Wa pesa,gari,cheo siogopi kbsa, wenye maurembo ya ziada Sana hao nawala kinafiki kukidhi genye zangu
 
Vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…