Ni kitu gani muhimu zaidi katika maisha?

Ni kitu gani muhimu zaidi katika maisha?

Ukiumwa ndio utajua kuwa hakuna kitu muhimu duniani km afya. Kuna watu wana pesa lkn hawana raha nazo kwa sababu ya maradhi wanatamani watoe kila walichonacho warudishiwe afya zao.

Mungu Atujaalie afya njema na furaha daima
 
Na kama huna afya hauwezi kuzitafuta pesa[emoji848]
ngoma droo watu wasilale eti kusingizia utajiri hauna furaha katika maisha....maskini au mtu wa kipato cha kati hana furaha pia kwani akipata shida yoyote lazima hela zihitajike mfano kwenye matibabu pia msijidanganye kuwa matajiri ndio hupata magonjwa yapo kwa wote mbona. Kisukari kwa kuwa wanakula vitu wenye wanga kwa wingi na sukari pamoja na vileo kama bia.

Kimbembe kwa maskini maumivu ya figo na ini kuvimba kwa sababu ya kunywa mataputapu kama gongo halafu hawali kuwa na msongo wa mawazo, si chawa si kunguni si viroboto si safura vyote vinakudharau kwa sababu huna pesa na mazingira duni utapiamlo usiseme kwa sababu unakula kwa shida.

MWISHO KABISA KWA KIZAZI HIKI KUPATA MBUSUSU NI SHIDA AU KUPATA ZILE ZA KIWANGO DUNI huyooooo anaenda kuangamia kwa kaswende, gono, n.k yaani kuna wakati ataishia kupiga nyeto na nguvu za kufanya kazi kwishaa we ni kulala tu.
 
Mleta mada yuko biased, kwani ni kila mwenye pesa hana furaha au kila masikini ana furaha?

Mimi nadhani kuwa na furaha haijarishi kama una pesa au huna, Lakini ukiwa na pesa unakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kuwa na furaha kuliko ambae hana mkwanja.
Hapana, hatuwezi kusema kuwa kila mwenye pesa hana furaha au kila masikini ana furaha. Furaha ni jambo la kibinafsi ambalo linatofautiana kwa kila mtu.

Hata hivyo, tunapaswa kukubali kuwa pesa zinaweza kutoa fursa na rasilimali ambazo zinaweza kuongeza uwezekano wa furaha. Kwa mfano, unaweza kuwa na furaha bila pesa, lakini ukosefu wa pesa unaweza kusababisha hali ya wasiwasi na kukosa uhuru wa kufanya mambo unayopenda. Kwa hivyo, kuwa na pesa inaweza kukuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kuwa na furaha, lakini sio jambo pekee linalohitajika.
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...
 
The Peace of mind ( utulivu wa akili, amani) ndicho kitu muhimu Zaidi kuliko vyote kwenye maisha ya binadamu.
 
Yaani utembelee V8 na uwe na nyumba ya gorofa halafu usiwe na furaha
 
Yaani utembelee V8 na uwe na nyumba ya gorofa halafu usiwe na furaha
Ukiweza kuimanage akili Yako isitamani na kupenda Mali utakuwa tajiri wa amani. Watu Wengi Wana Mali lakini ni maskini wa amani upendo hekima nk...ndio maana unaweza Kuta mtu ana fedha za kuweza kufanya mambo mengi lakini hafanyi hivyo Kwa sababu material Mali hazileti amani,amani inakuja wakati utakapogundua yote ni ubatili.
 
Back
Top Bottom