Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
Mbona Matajiri Wengi Afya Hawana.Maradhi Ndo Yamewaandama,Wako Banned Kula Vyakula Flani Hata licha Ya Pesa zao Wameshindwa Kupata Afya Bado Wanasumbuka Na Maradhi.Afya Ni Zawadi Kutoka Kwa Mungukama huna hela huwezi kuwa na afya
ngoma droo watu wasilale eti kusingizia utajiri hauna furaha katika maisha....maskini au mtu wa kipato cha kati hana furaha pia kwani akipata shida yoyote lazima hela zihitajike mfano kwenye matibabu pia msijidanganye kuwa matajiri ndio hupata magonjwa yapo kwa wote mbona. Kisukari kwa kuwa wanakula vitu wenye wanga kwa wingi na sukari pamoja na vileo kama bia.Na kama huna afya hauwezi kuzitafuta pesa[emoji848]
Mim nimechagua hivyo vyote.Swali ni kwamba, kwani ni lazima uchague kimoja kati ya pesa, afya na furaha?
Haiwezekani kuwa navyo vyote?
Hapana, hatuwezi kusema kuwa kila mwenye pesa hana furaha au kila masikini ana furaha. Furaha ni jambo la kibinafsi ambalo linatofautiana kwa kila mtu.Mleta mada yuko biased, kwani ni kila mwenye pesa hana furaha au kila masikini ana furaha?
Mimi nadhani kuwa na furaha haijarishi kama una pesa au huna, Lakini ukiwa na pesa unakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kuwa na furaha kuliko ambae hana mkwanja.
ThanaaaUnapenda vitu vizuri😁🙄
Tuko pamoja.Mim nimechagua hivyo vyote.
Ukiweza kuimanage akili Yako isitamani na kupenda Mali utakuwa tajiri wa amani. Watu Wengi Wana Mali lakini ni maskini wa amani upendo hekima nk...ndio maana unaweza Kuta mtu ana fedha za kuweza kufanya mambo mengi lakini hafanyi hivyo Kwa sababu material Mali hazileti amani,amani inakuja wakati utakapogundua yote ni ubatili.Yaani utembelee V8 na uwe na nyumba ya gorofa halafu usiwe na furaha