Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

earphone muhimu bwanaa
 
Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!

Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala.

Mimi; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
Simu weeeh
 
Me hua naachaga sirudi,,, sometimes hua nasahau simu watu wananiambiaga nafanya makusudi....
Inabidi nianze kujichunguza kwa ukaribu sikuizi
Basi ujue haina umuhimu kwako ungekuwa unashau vitu kama miwani, funguo za ofisi, nk hapo hata uwe umetembea na umbaligani utarudi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…