Ni kitu gani ulichowahi kujuta kukinunua?

Nili nunua covex all star kipindi hichoo nilikuwa mgonjwa sana na hivi viatuu.

Sasa nilisafiri na kwendaa mbalii kidogo na TZ nimekaa siku moja nikapata pesa nikaona sio mbayaa nitembee.

Katika pita pita,nikaona covex ya green iko poa sana yanii ilikuwa nzuri balaa.

Wale jamaa nahisi wana dawa maana hata sikuuliza mara mbili. Akaniambia hii ni mtumba basi nikatoa pesa pale nikaweka kwenye begi nikaondoka.

Nikiwa na furaha nikafika ghetto siku na haraka nazoo.

Nikakaa siku 4 nikapata mzunguko tena wa town kama kawaida nika vaa zangu fresh tinga all star huyuu, na kwa kuwa stend iko karibu basi nikapanda garii huyoo.

Sasa majanga ni hapa nashuka kwenye garii tuu naona kisigino njee kuangalia vizurii kiatu kime chanika.

Na kila navyo zidi ndo vinaongezeka. Nikajikaza kisabuni hata safari sijafikaa nikajikutaa naburuza kama ndala.

Kuna mda nikatembea mguu ukatoka njee raba ikaka pembeni nikaona sasa hii ishuu ni kweli.

Ukiangalia kiatu utasema cha 1983 yani kina chanika hata ukigisa tu na kidole.

Nikajichanga mikanunua ndala maana nilikuwa siko poa kiivyoo nikarudi home safari ikaishia hapo. viatu nikaviachaa huko huko town.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee nilikuwa sinunui nguo ndogo. Kkoo pale aisee we acha tu. Sita sahau mana niliumia sana. Naweza sema wanauza nguo zilizooza. Yani inachanika sio inafumuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!
Ndugu yangu umetisha. Nimecheka mnoo.
Hayo majuto yako ni kiboko.
 
Ulitaka kuwa muhindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha uwiii mbavu zangu mie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Supu ya jero pale k/koo aisee nyama ilikua mbichi balaaa alafu nilipomwambia yule mama alinijia juu kinoma kisha akanambia huo uchawi peleka huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ umekoma kula kula vitu vya uswazi...ukajifanya kutoa malalamiko ...ukidhani kuwa watakuelewa ...ulisahau kuwa uswazi ustaarabu ni 0
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…