Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ulikutana na sister duuh au kitoto cha 2000.
 
Alikuwa na wivu wa kijinga yaani siku ile nilimjibu mbovu na sikurudi kwake alidhani namtania.
Ulifanya vyema sana wapo wengi. Kuna wale wasiopenda uwahudumie hata wazazi wako. Mtu aogop kusema kati ya mimi na mama yako nani wa muhimu kumtumia hela 🙌🤣. Nilimwambia sina hata haja ya kumjibu, mpaka leo hii akinitafuta ananiomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…