Utakuwa umetuna Kama John bravo sema alikuwa anakuonea aibu kukupa.makavu liveAaah wengine tuwabishi ukitukataza ndio kama umetuambia tufanye.
Aliniambia nisiwe navaa tshirt msenge yule[emoji1]
eti sipendezi..body builder tangu lini hapendezi tshirt kumbe bana alikuwa anachukua tahadhari
Eti niache kutazama mpira ni pepo..!!!Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukulia je?
Duh!Kitambo sana nilimtema
Uongo unataniaAlinikataza kusuka...eti anapenda mademu wenye vipara
Mkuu Username inajieleza[emoji23] mzee wa SkankaNiache kuvuta bangi...aisee
Nilimfikiria sana kwamba huyu malaya nigan,halafu hajui huko nyuma nilishamiliki wanawake wazuri zaidi yake,walijua nakula weed na walinipenda sana...
Nikamuacha yeye
Serious kabisa!
Sijaelewa mkuuJf mods naunga mkono aliyesema degree kiwe kigezo cha kujiunga jf... Juzi kati kuna bnt amefungua uzi namna wats app inavomsumbua..yaaan inakuwa ni HOME OF TABURALASA
THE CHAINSMOKERMkuu Username inajieleza[emoji23] mzee wa Skanka
Mahari yake ilikuwa kubwa mpaka kukwambia uuze gari.Alinambia niuze gari yangu il nipate mahari nimuoe(in my mind nkasema hiv huyu mse**) mimi gari ndy my fav nikiwa na stress na drive mbali zinaisha, so kila akiwa anauliza umefikia wapi lile swala namzuga kuwa wateja wote hawafiki bei nayotaka, it was 2017/8
Kwani wewe siyo bahiri ?bora ulimuacha, watu wabahiri wabahiri dawa yao kuwaacha tu [emoji28]
me wala hata sio mbahiri rafiki yangu π
Yaan uache kazi π€£π€£π€£π€£Aliniambia niache kubet
Huyo alikua sahihi kabisa..alinikataza nisiende kwenye shamra Sharma za ccm
Mm nilishakataa huo ujinga. Sitakuja kuoa mwanamke mwenye mtoto. Ata ashuke malaikaTena ukijichanganya ukaoa, utaishia kuitwa mume jina tu, huku librazameni linaendelea kupasha kiporo kama kawa.
π unajua mimi napenda sana wale wa kienyeji(natural). Yani mwanamke akiwa na uzuri wake wa asili bila kuongeza maurembo kwangu ndio sifurukuti, alafu awe mpole.nmechekaa jamani ππππ, eti hujui ulikosea wapi dahπ
vizuri, sasa ndo adi kusuka jamani ππ unajua mimi napenda sana wale wa kienyeji(natural). Yani mwanamke akiwa na uzuri wake wa asili bila kuongeza maurembo kwangu ndio sifurukuti, alafu awe mpole.
Kuna mwanamke mzuri alafu kuna mwanamke mrembo.
Mzuri ni mzuri tu bila kujiremba ila mrembo ni yule anaeonekana mzuri baada ya kuapply urembo.