Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Mimi alinikataza nisiwe nasikiliza singeli wala kucheza. Akasahau siku ya kwanza kuniona aliniona nacheza singeli ndio akanipenda[emoji57][emoji57]
Dah umenikumbusha kuna ex wangu alikua anapenda singeli mno hadi mama yake. Akishika simu ni singeli kuna nyimbo ya mzee wa bwax inaitwa mzuka sijui, alikua anaipenda mno.
 
Huyu kikongw unamsikia au unamjua? ana maneno ya shombo unaweza jikuta kila thread utakayopost unanuka shombo watu hawachelew kukukariri kama walivyomkariri aposto😀 hujawah kupita 18 zake 🤣
😂🤣 ngoja nifanye kama namuita @f su basi 🙌
 
Mkuu mi sitii neno zaidi 😂😂
JamiiForums-1144151357.jpg
 
Wakati wakombe ladunia nilikatazwa nisiwnde kuangalia mechi ya fainali kati ya FRANCE VS ARGENTINA..NIkajisemeaaa hiiiiiii,iiii.in late magufuli:s voice ....nilishangaa sana.
 
Yaah nikamsikiliza napakaga tu ile vaseline lip therapy ya Pink [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera kwa kutunza penzi😅siiku utashangaa umebamba na girl mwingine midomo inameremeta kwa lipstic😂😂😂
 
[emoji119] hawa tunaowabikiri tukiwaonesha upendo wanatuonaga mafala sana sijui ni kwa sababu ya wanalack expirience ya mahusiano? Wangu nae alizinguaga ila now usumbufu mwingi
Wengi wanakuwa wanatongozwa sana hivyo wanaona wao niwa thamani sana, na anayopata kwako anaweza kuyapata kwa mwingine tena zaidi ya unavyompa na wengine wanakuwa wanatamani sana kujalibu kwa wanaume wengine, ....ila ukimwacha akijionea mwenyewe ndo baadae wanaanza kujuta...

Wangu alifkr siwez kupata mwanamke mwingine kama yeye kumbe wakati nipo naye nilikuwa na mwenzie aliyemkuta ila yeye niliamua kumpa thamani kutokana na hali ya kujitunza kwake,...nilivo ona hakajitambui ,utoto mwingi nikaoa wa kwanza.
 
Aliniambia sina akili za shule wa za maisha....
Kwaiyo kwakwe nitarejea tu, hata kama tutaachana ipo siku nitamuomba msamaha...

Kwa kweli nilimuaibisha shetani wake, saizi yeye ndy kaparara na sina habari naye akiniona ananikimbia...

Godfrey Mungu siyo baba yako nyau weweeeeeeeee
 
Wanazinguaga sana wakishapigwa na kitu kizito ndio kidogo akili huwakaa sawa vinginevyo wanasumbua sana.
 
Aliniambia sina akili za shule wa za maisha....
Kwaiyo kwakwe nitarejea tu, hata kama tutaachana ipo siku nitamuomba msamaha...

Kwa kweli nilimuaibisha shetani wake, saizi yeye ndy kaparara na sina habari naye akiniona ananikimbia...

Godfrey Mungu siyo baba yako nyau weweeeeeeeee
😂😂 hongera sana mtu kama huyo hafai alikuona hauna ujanja wa kuishi bila yeye kumbe alikua anajidanganya. Mtu wa hvyo hata kama unampenda kwa kauli hizo bora ukubali maumivu tu ili aone yeye sio Mungu mtu.
 
Back
Top Bottom